Mkuu mbona huu msemo "hii nchi ngumu hii" naona kama unakinzana na huo msemo "bongo sihami"?Mwanafunzi hana mshahara lkn analipa nauli ya daladala..polisi mwenye mshahara halipi...
Sukari inatoka moro mpk dar kwa 2800, sukari hyo hyo inavuka boda kutoka zambia au uganda kwa bei hyo hyo...
Ushuru wa kuagiza gari ni sawa/ zaidi ya gari yenyewe...
NCHI NGUMU SANA HII..
pia kuna msemo mwingine..BONGO SIHAMI
Dah! So sadNimefungua biashara lkn kila siku inakula rungu za serikali
Kodi
Ushuru wa kjj
Kodi ya jengo
Kodi ya umeme
Wakala was mizan
Ushuru was mlinzi
Tozo za miamala
Na wanafosi nitumie EFD mashine wanikate double too..
Hi nchi ngumu Sana aisee