Nini maana ya hivi vibwagizo?

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Mwanzo nilikutana na "lol" sasa imekuja "mia". Jamani sielewi mwenzenu, ebu anayejua/mwanzilishi afunguke
 
mia-MAMBO SAWA.POA.SAWASAWA.FRESH....iyo lol msubiri NN atakusaidia...
 
Hiyo lol! umeelezwa,mia nimekutana nayo hapa mwanzilishi anaitwa Figganigga ni kama kimalizio kwenye sentensi na wengi tunaitumia tukimjibu au mada anazoanzisha.mia
 
Back
Top Bottom