Nini maana ya hii picha?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
tlp.jpg
Hapo Jk na Mama Salma wote kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono simultaneously
na Mgombea Urais wa TLP,Mr Muttamwega wakiwa msibani....
toa maoni yako
 
kawaida tu upinzani sio kwamba mkikutana mnapotezeana, upinzani ni jukwaani tu mbona hata Maalim Seif alimkumbatia Shein juzi
 
Kikwete kama vile anamuambia mama "Huyu jamaa eti naye alikuwemo kwenye mbio za kuwania urais"
 
kawaida tu upinzani sio kwamba mkikutana mnapotezeana, upinzani ni jukwaani tu mbona hata Maalim Seif alimkumbatia Shein juzi

Na hapa umetusaidia kupigilia mstari suala lilelie la ndoa za siri siri za CCM na CUF na sasa CCM na TLP.
 
attachment.php

Huu ndio uungwana mnapambana jukwaani halafu mkikutana nje ya jukwaa mnakuwa marafiki
 
JK anamwambia Salma amwonyesha jamaa kampeni ya shuka kwa shuka inavyofanyika kivitendo!
 
Ukweli ni kuwa JK anamwambia Mamaaa hivi....."Mama Ridhiwan huyu anaitwa Mutamwega Batt anataka kutuondoa pale Ikulu"..... Halafu jamaa anamuangalia kwa usongo huyu mama kama vile anamwambia .."Yaani unamfanyia kampeni mumeo... haya tutaona"
 
kawaida tu upinzani sio kwamba mkikutana mnapotezeana, upinzani ni jukwaani tu mbona hata Maalim Seif alimkumbatia Shein juzi

Kwani walipokumbatiana sio jukwaani i.e. uwanja wa siasa? Au walikutana marikiti?
 
Ukweli ni kuwa JK anamwambia Mamaaa hivi....."Mama Ridhiwan huyu anaitwa Mutamwega Batt anataka kutuondoa pale Ikulu"..... Halafu jamaa anamuangalia kwa usongo huyu mama kama vile anamwambia .."Yaani unamfanyia kampeni mumeo... haya tutaona"

Salma hajamzaa RizOne!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom