Kuna Dr mmoja anaitwa Elly VD kuwa anakipindi chomoza kwa sasa anazungumzia mwanga wa akili kagusia masuala ya wisdom kama unataka kuchukua nondo mbili tatu ingia youtube tafuta somo 'la mwaka wa akili utajifunza kitu.
Kaa na watu wazima ujuao wana busara, sali sana na acha maovu, soma kitabu takatifu kwa mujibu wa dini yako, jumuika na viongozi wa dini yako na pia shiriki kwenye vikao mbalimbali vya usuluhishi. Ukifanya hivyo utaipata.
Hekima au Hikmah ni mtu kuweza kutoa maamuzi ya haki bila kuegemea upande wowote
Kujua mambo mengi na kuyapambanua vizuri
Mtu mwenye hekima anaweza kutatua tatizo baina ya watu bila kukosea
Knowledge of the reality of things
Hekima ni mtu kuwa WISE na wisdom kama ntaeleweka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.