Nini maana ya hekima na ninawezaje kuipata?

Hekima haipatikani.Hekima Ni application ya knowledge uliyonayo.

Knowledge waweza ipata kwa kusoma ,maongezi,experience nk uki apply hiyo knowledge na ikaleta results nzuri ndio unaitwa una hekima.

Mfano umesomea biashara hiyo Ni knowledge uki I apply ukaanzisha Azam TV,Azam foods nk wewe Sasa ndio unaitwa mwenye hekima.

Unataka kuitwa mwenye hekima apply knowledge hiyo uliyonnayo I produce good results
 
Hekima au Hikmah ni mtu kuweza kutoa maamuzi ya haki bila kuegemea upande wowote
Kujua mambo mengi na kuyapambanua vizuri
Mtu mwenye hekima anaweza kutatua tatizo baina ya watu bila kukosea
Knowledge of the reality of things
Hekima ni mtu kuwa WISE na wisdom kama ntaeleweka
 
Back
Top Bottom