Nini maana ya Flagship phone?

Note 9 inamika mingapi mpaka sasa.je thamani yake kwa sasa na umetumia mda mgani wakati hiyo oppo a93 imetoka 2020.sio mbaya .
Labda ungebadilishana na kitu kilichopo nyuma zaidi
Mkuu, flagship phone inaweza kupambana na hizo budget au midrange phones hata kwa miaka mitano na bado hazifui dafu.
 
Nnakumbuka captain flint alipokuwa pirate aliwatisha watu na bendera tuu
Watu walipoona ile bendera yenye alama iliyoashiria uwepo wa captain flint waliogopa meli yenyewe nadhani hiyo ndiyo tafsiri ya flagship

Nikiwa na maana kuwa kile kinachotangulizwa mbele kikiwa kinaakisi ubora na ufanisi wa kila kitu kilichopo kwenye muktadha huo
 
Flagship ni TOLEO KUU la simu katika kampuni husika. Kila Brand ina toleo kuu ambalo ndio linaneba maana halisi ya simu zake zenye premium features (yaani sifa za kiwango cha juu) kwa kadiri ya uwezo wao wote.

Flagship zinatoka takriban mara moja kwa kila miezi 6. Na baada ya kutoka hiyo flagship inasindikizwa na zile simu za kawaida ambazo zinatoka kwa wingi hadi Toleo lingine la flagship litakapotoka.

Mfano wa flagship;
Kwa Samsung: i.e S- series na Note- Series.
Kwa Vivo : i.e X - Series.
Kwa Xiaomi : i.e Note-Series
Kwa Huawei: i.e Mate -Series
Kwa Tecno: i.e Phantom-Series

Sorry kuna simu hazina flagship
 
Sasa bouy mi 9pro ni flagship ya xiaomi ? Ya mwaka gani .So far ni simu nzur sana ila sio flagship
Kaangalie Simu zote walizotoa Xiaomi mwaka 2019 zenye high end Soc kwa kipindi hicho ambayo ilikuwa Sanapdragon 855. Zipo 5 tu. Halafu uniambie flagship ni zipi kati ya hizo?

Screenshot_2021-04-13-07-50-10-697_com.android.chrome.jpg
 
Bwana asituzuge tumeijua xiaomi zamani bwana hio simu ilipotoka si kulikua na mi 10 au hajui hio ndio ilikua flagship ya mwaka jana bwana k series iko kundi ya upper midrange tu
Acha ushamba me nazungumzia mwaka 2019.

Mi 10 imetoka mwaka jana na ina SD865.

Naona unachanganya kati ya mi 10 na mi note 10.

Mi note 10 imetoka 2019 ina camera tu nzuri lakini the rest kila kitu ni midrange.
 
Acha ushamba me nazungumzia mwaka 2019.

Mi 10 imetoka mwaka jana na ina SD865.

Naona unachanganya kati ya mi 10 na mi note 10.

Mi note 10 imetoka 2019 ina camera tu nzuri lakini the rest kila kitu ni midrange.
Jaza ata ukurasa mzima ila nimekuambia hio k40 sijui mi 9t sio flagship bwana
 
A flagship phone is the latest and greatest from a brand. It's the last phone they released and it's often the phone that costs the most. Most brands and manufacturers release new and improved smartphone models every year, replacing last year's flagship phone.
 
Una mahela mengi lakini kichwani huna maarifa. Kabla ya kununua kitu chochote kile ambacho ni technical kama vile simu, gari, PC na kadhalika unatakiwa utafute kwanza maarifa juu ya hicho kitu, tofauti na hapo utaishia kupigwa, kununua kitu chenye ubora mdogo kwa hela kubwa na kadhalika.
Haya sasa wale wa education is better than money, msaidieni mwenzenu
 
Habari za muda huu mwez mmoja uliopita nilikuwa na samsung note 9, kuna mtu alikuja na oppo A93 kwa kuwa nilipenda ile simu nilibadilishana naye, nilipo kuja mwambia rafiki yangu mmoja alinicheka sanaa aliniambia yaani umekubali kubadilishana flagship phone na simu za kawaida bila kuongezewa hela yeyote, ile nikamuuliza flagship ndio nini yaya akaniambia hana maelezo sanaa kuhusu flagship ila tu nijue note na S series ni flagship na simu nzuri zaidi.

Sasa naombeni mnisaidie hapa maana ya flagship na sifa gani simu inatakiwa iwe nazo ili iitwe flagship? Je naweza jua Series nyingine za simu ambazo ni flagship? Mfano S na NOTE kwa samsung? Asanteni sana na kwa bajeti ya laki 8 hadi 9 simu gani nzuri naweza pata (mimi kama mimi nilikuwa na plan na iphone xs max ingawa nimeambiwa ni ndogo sana kuipata kwa hii bei)
Chief-Mkwawa T14 Armata
Hapa mdau ulipigwa kwelikweli maana hata chipset mediatek dah! Tecno iliyochangamka. Ila ndo mwanzo wa kujifunz uskonde
 
Back
Top Bottom