Nini maana ya "DPP hana nia ya kuendelea na kesi hii"??

Rosicky

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
1,158
1,944
habarini,

Ni mara nyingi sana nimekuwa nikisikia kauli tajwa hapo juu wakati wa kesi mahakamani naomba kufahamishwa.

Nini maana yake?

Ni katika mazingira gani anaruhusiwa kufanya hivyo?

Je, mahakama inaweza kumkatalia?

Karibuni niko tayari kujifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwendeshaji kesi wa jamhuri
ndie anayeandaa mashtaka na kufikisha mahakamani.
sasa sijui na yeye ni polisi au lah?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama ya mwanzo na mahakama ya wilaya huwa waendesha mashtaka wanatokea polisi lkn mahakama za juu ya hizo huwa wanatokea kwenye ofisi ya DPP na lazima uwe mwanasheria/wakili.
 
Nini maana yake?

Ni katika mazingira gani anaruhusiwa kufanya hivyo?

Je, mahakama inaweza kumkatalia?

Karibuni niko tayari kujifunza.
Kuna kifungu kinaitwa Nolle Prosequi,kinampa DPP maguvu ya kutoendelea na kesi na mahakama haina uwezo wa kumkatalia.Kifungu hicho hicho kinampa uwezo DPP kuifufua hiyo kesi akiona inafaa
DPP akiamka ana uwezo wa kuifuta kesi yoyote na hakuna mwenye ubavu wa kumuhoji hata Rais Jim
 
hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom