Nini maana ya breadcrumbs issues detected na kwanini inatokea kwenye blog

Rogers255

New Member
Jan 13, 2021
1
1
Wakuu.

Nilikua nauliza mini maana ya breadcrumbs issues detected kwasababu Mimi nilikua na blog yangu na baadae nili submit kwenye sitemap ilichukua wiki tatu tu wakanitumia icho kitu na sasa ninavyo waambieni blog yangu aipatikani kwenye search engine anaejua anisaidie jamani
 
Bro, kama ni WordPress ama blogger badili theme/template tafuta mpya au update. UKISHINDWA INGIA KWENYE CODE ZA TEMPLATE NADHANI HIYO ERROR IMEKWISHA ONYESHWA NA GOOGLE CONSOLE ANGALIA VIZURI INAPATIKANA KWENYE PAGE GANI NA LINE GANI.

BREADCRUMB NI MFANO WA NAVIGATION AMBAYO HUWA NA STRUCTURE TOFAUTI NA NORMAL NAVIGATION, NA KATIKA LISG HIZO ZA LINK KUNA ATTRIBUTE ZINAZOSPECIFY DATA STRUCTURE KWA AJILI YA SEO.
ZAMANI GOOGLE ILISAPOTI DATA STRUCTURE IITWAYO Data-vocabulary-schema.org kwa sasa inasapoti schema.org, KWA HIYO UTAONA KWENYE HIZO LINK ZA THEME AMA TEMPLATE KAMA ZIKIWA NI TYPE ONE BADILI ZIWE Na hiyo url schema org.

Case closed

Back
Top Bottom