Nini maana neno Achuz

DUUU UO WAPI MKUU?HILI NENO MTAANI KWETU LIMEJULIKANA KITAMBO SANA NA TUSHAACHA KULITUMIA.NAHISI UTAKUWA WA MKOANI WEWE
 
Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini?

Msaada tutani.
Ungetoa walau vihisia, umelitoa wapi, lilitumika aje n.k. La sivyo itakuwa kazi hata kwa mwenye nia ya kusaidia kulitafuta.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom