Nini maana na asili ya neno MEKO?

Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa, neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada, Mara nyingi nimekuwa nikigonga mwamba kujua Hutu ni MTU au ni eneo nchini Tanzania linaitwa MEKO.

Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?
Ukijua maana neno CHUMA utajua maana ya neno MEKO!!😄
 
Dahh kweli jf ni uwanja mpana, kila comment imoo😂😂
Kwa sasa sihitaji ku google nauliza jf members
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom