Nini maana halisi ya neno tiGO? Manake linatuchanganya sana wadau....

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Tangia neno tiGO lianze kutumika kwenye moja ya Makampuni ya simu kumekuwa na porojo na fafanuzi nyingi kutokana na neno tiGO....

Na wengi wa watu wanatumia neno tiGO na kulifananisha na MAKALIO YA WANAWAKE au Mwanaume anayependa kufanya tendo la ngono na Mwanamke kinyume na maumbile....Swali langu kwanini watu wanalidhalilisha neno tiGO? Na je, kwanini wanawake wengi wanapenda kutoa tiGO ilihali wakijua wanafanya makosa sana? Nawasilisha.
 
Mbona umeanzia mbaaali ? huu utafiti wa wanawake wengi kutoa Tigo umefanyia wapi ? halafu hili la kosa we unaweza kuona hivo na wengine wasiona kama kosa.
 
lol.................
mimi nahisi wana mtandao huo huwa wnatafuta namna ya kujitambulisha ,
na kwa wengine ndo namna hii ya kuanzisha thread hata hujui hasa kinachoulizwa....lol
 
lakini Boss kwa kweli hali ni mbaya mimi kuna binti alinitangaza eti mi ni mshamba nakula samaki upande wa juu tu lol!
 
ha ha haaa alikukuta umetoka nyumba ya ibada nini siku hiyo??????/lol

dunia inabadilika....faster kuliko uwezo wetu wa kudhibiti mabadiliko...
 
eti alitaka 'nimsalimie na jirani' hahaha!

Angalia mpaka kesho mchana thread hii itakavyojaa ndio utajua hali si nzuri lol!
 
jamani watanzania ache kushabikia ngono, tena ngono yenyewe ilisababisha watu wa lutu walihalakishwa. Tujaribu kujadili mambo ya kheri na ya maendeleo.
 
Tangia neno tiGO lianze kutumika kwenye moja ya Makampuni ya simu kumekuwa na porojo na fafanuzi nyingi kutokana na neno tiGO....

Na wengi wa watu wanatumia neno tiGO na kulifananisha na MAKALIO YA WANAWAKE au Mwanaume anayependa kufanya tendo la ngono na Mwanamke kinyume na maumbile....Swali langu kwanini watu wanalidhalilisha neno tiGO? Na je, kwanini wanawake wengi wanapenda kutoa tiGO ilihali wakijua wanafanya makosa sana? Nawasilisha.

Unataka kujua kwanini baadhi ya wanawake wanatoa tigo, au wataka jua maana ya tigo? Piga 100, then chagua lugha halafu waulize watakujibu vizuri tu, hata ukitaka watakupa
 
Tangia neno tiGO lianze kutumika kwenye moja ya Makampuni ya simu kumekuwa na porojo na fafanuzi nyingi kutokana na neno tiGO....

Na wengi wa watu wanatumia neno tiGO na kulifananisha na MAKALIO YA WANAWAKE au Mwanaume anayependa kufanya tendo la ngono na Mwanamke kinyume na maumbile....Swali langu kwanini watu wanalidhalilisha neno tiGO? Na je, kwanini wanawake wengi wanapenda kutoa tiGO ilihali wakijua wanafanya makosa sana? Nawasilisha.

Wengi wanahusisha na kijambio
 
jamani watanzania ache kushabikia ngono, tena ngono yenyewe ilisababisha watu wa lutu walihalakishwa. Tujaribu kujadili mambo ya kheri na ya maendeleo.
Duh! we Kahtaan chiboko yaani toka ujiunge july,2009 una posts 3 tu tena zote leo ?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
nyama ya mbele tamu...ya nyuma inamafuta...mwendo wake na mbuvu mimi vinanichanganya...jamani bata mtamu nyieeee bata mtamu...
 
Nanga kwake baharini jamani,mtoni itashikwa na tope! Ingawa kule kwetu kunanii TIGO twaita NDOGO!
 
Back
Top Bottom