Nini maana halisi ya mwenge kukesha???

Texas Tom.

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
510
273
Leo mwenge wa uhuru unaingia hapa Usa-River Arumeru, Binafsi nimejua jana jioni baada ya kuona viongozi wetu wakihangaika kutengeneza vibarabara vya mtaani pamoja na majukwaa, Jana ulikua Arusha tena nasikia waliuweka kwenye mataa ya barabarani ikasabaisha ajali..nauliza nini maana ya mwenge kukesha ??? kwanini wasiuwashe asubuhi wakauzima jioni? kwanini usiku?? Hayo matumaini wanaodai huletwa na mwenge yako wapi??
 
Ufuska tu kwenye mwenge usiku

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Lengo ni moja tu, ili wananchi wawe huru usiku kucha kufanya ngono holela hapo.
Mkesha wa mwenge ni tamasha rasmi la Ngono.
 
Mh.Nasari vipi upo wapi mwenge unaingia arumeru?sii uliupiga marufuku kufika jimboni kwako?

labda walete wasanii ndo watoto watafika pale, ikipita barabarani watu wanashangaa tu kama zinapopita misafara mingine
 
Sidhani kama mwenge una hata faida moja zaidi yote ni mabaya na maovu yasiyokubalika ktk jamii yoyote duniani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom