Nini maaana ya njozi hii

wepson

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
831
217
Habari wadau
Naomba msaada wa njozi hii, nimeota nachunga wanayama wengi ila Kati Yao yupo mbuzi na mtoto wake wakanisumbua sana na nikawachapa mpaka wakazimia
Pembeni kukawa na nyumba nzuri sana

Je inamaana gani
 
Wanayama ndo nn???

Hii chai... huu muda wa kulala
 
Kama hukuielewa muombe Mungu akuletee kwa lugha rahisi zaidi uweze kuielewa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom