Nini lengo la pakiti ya dawa ya Mbu kufanana na pakiti ya Condom?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Condom ipo Dunia nzima!

Ni yepi malengo watengenezaji wa dawa ya mbu kuamua kutumia kufungashio kinachofanana na Condom?
IMG_20200926_091155_908.jpg
 
1. Mbu pia wanaambukiza mimba iwapo ametoka kung’ata uume kisha akang’ate uke ambao uko kipindi cha yai kupevuka.

2. Mbu pia wanaambukiza ngoma kutoka mgonjwa mwenye damu chanya kwenda damu chanya na hasi.

3. Ukisahau kutumia/kununua ndomu, tumua hiyo dawa ya mbu kuua mbu walioko eneo ulilopo utakwepa vile vinavyokwepeshwa/ vinavyozuiwa na ndomu.

Alnuru.
 
Duh
 
Kuna mafundi walikuwa wana kazi hapa nyumbani,sasa waliziona jalalani zipo kibao na zingine zimezagaa,jamaa wakaanza kuambiana wao kwa wao huyu jamaa ni noma yaani hafai,mi nikiwa sipo

Sikumbuki kilitokea nini nikawa nimesema kitu wakajua hio ni pakti za dawa ya mbu,jamaa wakaanza kucheka,

Nikauliza mbona mnacheka,wakasema tulikuwa tunajua hizo ni pakti za ndom,na kwa jinsi zilivyo nyingi tukawa tunasema we si wa mchezo.

Kumbe walikuwa hawajawai kuona hizo dawa za mbu kabisa,ina maana wasingejua wangondoka na mawazo wanayoyajua wao.
 
Condom ipo Dunia nzima!

Ni yepi malengo watengenezaji wa dawa ya mbu kuamua kutumia kufungashio kinachofanana na Condom?
View attachment 1581175

Kufanana kwa Mahitaji ya uhifadhi ndiko kumepelekea kufanana kwa kifungashio (Pakiti).
Kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba, mazingira ya kisayansi yanayohitajika ili kutunza kondomu zisipoteze ubora hayatofautiani sana na yanayohitajika kutunza dawa ya mbu.

Kwa mfano, kiasi cha mwanga, unyevu na jotoridi.
 
Kuna mafundi walikuwa wana kazi hapa nyumbani,sasa waliziona jalalani zipo kibao na zingine zimezagaa,jamaa wakaanza kuambiana wao kwa wao huyu jamaa ni noma yaani hafai,mi nikiwa sipo

Sikumbuki kilitokea nini nikawa nimesema kitu wakajua hio ni pakti za dawa ya mbu,jamaa wakaanza kucheka,

Nikauliza mbona mnacheka,wakasema tulikuwa tunajua hizo ni pakti za ndom,na kwa jinsi zilivyo nyingi tukawa tunasema we si wa mchezo.

Kumbe walikuwa hawajawai kuona hizo dawa za mbu kabisa,ina maana wasingejua wangondoka na mawazo wanayoyajua wao.
 
1. Mbu pia wanaambukiza mimba iwapo ametoka kung’ata uume kisha akang’ate uke ambao uko kipindi cha yai kupevuka.

2. Mbu pia wanaambukiza ngoma kutoka mgonjwa mwenye damu chanya kwenda damu chanya na hasi.

3. Ukisahau kutumia/kununua ndomu, tumua hiyo dawa ya mbu kuua mbu walioko eneo ulilopo utakwepa vile vinavyokwepeshwa/ vinavyozuiwa na ndomu.

Alnuru.
 
2. Mbu pia wanaambukiza ngoma kutoka mgonjwa mwenye damu chanya kwenda damu chanya na hasi.
Mbu anakufa apo muuma mtu mwenye HIV+ kwaiyo hawezi kusambaza HIV.

Tutumie HIV kuuwa mbu (ninesikia jamaa mmoja anasema hvyo)
 
Back
Top Bottom