Nini kiwepo au kisiwepo kwenye katiba mpya tunayoidai?...MAONI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kiwepo au kisiwepo kwenye katiba mpya tunayoidai?...MAONI

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by carmel, Jan 31, 2011.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naomba wote tukae tutafakari mambo muhimu tunayotaka yawe kwenye katiba mpya. Ni kweli kwa sasa tuna nia moja ambayo ni kupata katiba mpya. Basi na tutoe mapendekezo, na hii thread mwisho wa siku , au wakati muafaka ujapo tuwe tuna idea ni nini tuna taka, watu watoe maoni yao. Kwa kuanza mi napendekeza yafuatayo:

  1. Katiba mpya isiruhusu mtu moja kuwa na vyeo zaidi ya viwili serikalini, kwa mfano , mkuu wa mkoa kuwa mbunge, na kuwa waziri etc. naamini kuna watu wengi sana tanzaniaa wanaohitaji kazi.
  2. Tume ya uchaguzi iwe huru..
  3........................................
  4..........................................
  5..................................................
  Haya shime tuendelee wandugu ili kila mtu aseme kama mkakati wa kukusanya maoni ya wananchi katiba mpya iweje.
   
Loading...