Nini kitatokea miaka Quintillions 10 ijayo.?

Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
831
Points
1,000
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
831 1,000
Habari wakuu. Leo nakuletea mlolongo wa matukio yatakayotokea kuanzia sasa mpaka miaka Quintillions 100 ijayo. Hii ni kwa mujibu wa Sayansi na mwenendo wa dunia yetu.
Karibu
tafuta hela achana na mambo ya uongo
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,832
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,832 2,000
Habari wakuu. Leo nakuletea mlolongo wa matukio yatakayotokea kuanzia sasa mpaka miaka Quintillions 100 ijayo. Hii ni kwa mujibu wa Sayansi na mwenendo wa dunia yetu.
Karibu
Nadhani utakuwa ume-acknowledge source ya material uliyoipa maelezo ya sauti yako umeipata wapi... isije kuwa umetoa maelezo tu kama ni wewe uliyefanya utafiti.
 
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
457
Points
250
rajabkisauti

rajabkisauti

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
457 250
Habari wakuu. Leo nakuletea mlolongo wa matukio yatakayotokea kuanzia sasa mpaka miaka Quintillions 100 ijayo. Hii ni kwa mujibu wa Sayansi na mwenendo wa dunia yetu.
Karibu
Einstern alisema Dunia huenda haitofika 2065 kutoka na geographical changes alizozichunguza
 
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
781
Points
1,000
Age
31
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined Oct 2, 2011
781 1,000
Nadhani utakuwa ume-acknowledge source ya material uliyoipa maelezo ya sauti yako umeipata wapi... isije kuwa umetoa maelezo tu kama ni wewe uliyefanya utafiti.
Source Google 🤓
 
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
781
Points
1,000
Age
31
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined Oct 2, 2011
781 1,000
Hapa kuna thread nilipitia jamaa anauliza ni nini kitatokea endapo jua litazima. Jibu lake nawaletea soon
 
nduza

nduza

Member
Joined
Feb 7, 2019
Messages
69
Points
125
nduza

nduza

Member
Joined Feb 7, 2019
69 125
Watu huwa wanawaza kwenda mbele tu wanasahau uwepo wa Mungu
Mungu huwa anabalance mambo vyakutosha kabisa kwa mfano wakati unadhani kwamba DSM itakuwa labda Mara mia ya new York ya Leo
Kumbe huenda ikawa ni eneo la kihistoria kwamba hapa paliwahi kuwa na mji miaka labda laki moja iliyopita hivi
 
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
781
Points
1,000
Age
31
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined Oct 2, 2011
781 1,000
Na ukiipata hiyo data ina mtu aliyeiweka!
Yes na huyo mtu alieiweka nae labda kaipata kwa mtu mwingine ambae amesikia kwa mtu mwingine aliefundishwa na mtu mwingine aliesoma kwa professor flani aliefanya utafiti flani baada ya kutafakari jambo flani. The list goes on and on
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,832
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,832 2,000
Yes na huyo mtu alieiweka nae labda kaipata kwa mtu mwingine ambae amesikia kwa mtu mwingine aliefundishwa na mtu mwingine aliesoma kwa professor flani aliefanya utafiti flani baada ya kutafakari jambo flani. The list goes on and on
Unafikiri kila mtu anahusudu plagiarism kama wewe! Unaonekana umesoma shule za Bongo wewe kwani ndiyo wenye hii tabia
 
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
781
Points
1,000
Age
31
Sele Mkonje

Sele Mkonje

Verified Member
Joined Oct 2, 2011
781 1,000
Unafikiri kila mtu anahusudu plagiarism kama wewe! Unaonekana umesoma shule za Bongo wewe kwani ndiyo wenye hii tabia
Yap me nimesoma kayumba mzee,vipi we uliruka states nini?
 
Forum statistics

Threads 1,285,928
Members 494,830
Posts 30,879,298
Top