Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,594
- 7,586
Heshima kwenu wakuu.
Nimewaza tu,
Kwa mfano kukawa na marais watatu wa mataifa tofauti.
Wakawa wanapiga stori mbili tatu hivi, kisha wakafurahia na ghafla rais X akataka ampe tano rais Y, but wakati ananyanyua mkono ili agonge kwa bahati mbaya akampiga rais Z ngumu ya pua, hadi kuoa Jino☺.
Je, walinzi wake watakinukisha? au
Serikali yake itachukua hatua gani dhidi ya rais 'bondia'
Ushuhuda:
Wakati jpm yupo Ethiopia kwenye kikao cha viongizi, niliona video akipiga stori mara ikamvutia na akaangua kicheko cha ukweli hadi akainama kwa nyuma, lakini wakati anainama, kama sijasahau mh Uhuru akakwepa! Je, angegongwa kichwa ingekuwaje??
NB. Wakati unasoma jenga taswira kichwani. Picha na video hazipo.