kumbe ndio zaoTutaenda UN head quarter au tutaliiba kombe
Tushuke daraja tu ili tukachukue kombe la daraja la pili
Nini kitatokea kama wataupata ubingwa mwaka huuNajaribu kuwaza kwa sauti wakuu, unadhan nini kitatokea msimbazi endapo ubingwa hautopatikana msimu huu??
Hahaha ndo zetu wanasimba kokokumbe ndio zao
Na bado kwenda FIFAHahaha ndo zetu wanasimba koko
Safari hii tutaenda The Hague na UN mpaka tupate kombeNa bado kwenda FIFA
tena mkizingatia mna kikosi cha BILIONI 1 aaah mtasikilizwa tuSafari hii tutaenda The Hague na UN mpaka tupate kombe