Nini kitatokea endapo Serikali ya Tanzania itatangaza kufilisika??

Serikali ya Tz ilishafilisika zamani tu, coz tunajulikana kwa kuomba misaada nje ya nchi, sasa sijui matangazo gani unayosubiri mkuu. Waswahili wakwambia kama hujui soma, hata picha huoni?
 
Great Thinkers wote watakuwa na kesi ya kujibu. Kwamba walikuwa wapi mpaka nchi ifike huko!!!
 
wauze mkoa mmoja ambao hauna faida kama Lindi, mtwara, songea japo kuna madini, tabora au singida na kagera
 
Wamarekani na waingereza watafurka kutoa misaada kwa masharti ya kupewa ardhi na maeneo yenye madini, then.......mkataba wa Camerooon utasiniwa kiulainiiiiiiiiii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom