Nini kitatokea endapo Serikali ya Tanzania itatangaza kufilisika?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kitatokea endapo Serikali ya Tanzania itatangaza kufilisika??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kivumah, Jan 11, 2012.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Kwa wale Wataalamu wa Uchumi hebu tusaidieni,
  Zipo Taarfa zisizo rasmi, kwamba Serikali ya Tanzania ipo taabani kifedha, Kwamba Ukomo wake wa kukopa umekaribia mwisho.
  Sasa endapo itatokea Waziri wa Fedha au Gavana wa Benki Kuu watangaze kwamba Serikali imefilisika, Je ni nini kitatokea?, na nini kitafanyika kunusuru hali hio?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  itabidi wachumi wapaale ud waje na sera zao za kichumi..
   
 3. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  itaanza kuuza rasilimali zake kwa kasi zaidi na kwa bei ya kutupa ili kuhakikisha maisha yanasonga kama kawaida...
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  tunaweza kuuza baadhi ya eneo letu,hasa maeneo ya kusini na pwani ili kujinusuru na hali hii.
   
 5. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mafisadi wameifilisi Serikali hivyo kama nchi imefilisika, mali za mafisadi zishikwe na akaunti zako kunyonywa.

  Wengi wengi tumepata listi za mafisadi na mali zao hapa JF.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Watazidi kupoteza wawekezaji hence watazidi kuyumba na pia hawatoaminika hata wakitaka kukopa maana hawatakua na uwezo wa kurefund madeni
   
 7. S

  Senator p JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutaunda tume,na kuipa muda wa mwaka 1
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Wachumi watakimbilia Nigeria kuombewa
   
 9. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Bado sijapata jibu la kitaalamu la kiuchumi. Nataka kufahamu ikitokea tukafilisika, vyombo vya Fedha vya Bretton Woods i.e IMF au World Bank ndo watakuja kutuokoa??, au Serikali itabinya/kubana matumizi yake kwa style ipi?, kupunguza wafanyakazi?, kufuta posho?.
  Hakuna waliosoma Uchumi humu?
   
 10. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Serikali ya chama cha magamba imetumia pesa nyingi sana kwenye kampeni za uchaguzi.
  Hayo ndio matokeo ya kutaka kung'ang'ania madaraka hata pale wananchi wanapokuwa hawawataki. Kuhonga, kununua kura. Matokeo yake wananchi wa kawaida wanaumia
   
 11. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Itauza ardhi yote ya nchi pamoja na wananchi kwa wawekezaji, ili ipate fedha za kuendeshea sirikali.
   
 12. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Great Thinker??!!!
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Google great depression events; nchi zote za ulaya zilifisika kutokana na vita II ya dunia ilibidi wakopeshwe na US; hadi leo nchi hizo zinadaiwa na reserve bank of america ambayo in fact ni private company owned jews elites

  In case of Tanzania options ziko tatu;
  a. Kukopa kwa nchi zingine mfano US, Saudia, au China ili serikali iendelee kuishi

  b. Kuuza resources zetu madini, ardhi, etc kwa muda maalum hadi hali itakapotengamaa

  c. Kupunguza matumizi, kujifunga mkanda kufukuza wafanyakazi wa serikali na kupeleka madaraka vijijini (autonomy) wanawalipa wenyewe walimu wao, shule zao, barabara zao...
   
 14. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tutauza mlima Kilimanjaro kwa Wakenya, maana wanautaka sana
   
 15. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu hebu dadavua hapo (a) na (b), ukizingatia Ukomo wa kukopa nao umefikia mwisho, na kuhusu kuuza resources, hii imekaaje? ni sahihi kweli
   
 16. Z

  Zabushir Member

  #16
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa upande wa wananchi mambo itakuwa mbaya,wananchi wanaleta revolution kubwa ambayo itaweza kupelekea tuwe dependent forever.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tutamvua JK zile suti tano alizohongwa na mwekezaji ALLY ARBWADY
   
 18. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,345
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  hivi jeshi lipo?!
   
 19. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #19
  Jan 15, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ombaomba hafilisiki kamwe!!
   
 20. a

  african2010 Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Maskini Hafilisiki
   
Loading...