Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,743
Chacha Wangwe alitaka kugombea uenyekiti na mnajua kilichompata.Kama Mandela alivyokuwa na kesi ya ugaidi. Hivyo ugaidi wa Mbowe tunajua ni kutokana na kuisumbua ccm, hivyo mama wa kambo ametumia mbinu za kizamani kumbambikia kesi.
Ni kweli nina roho mbaya, ila haikuti ya yule dhalimu aliyeko motoni hivi sasa.
Endeleeni kujikaza kisabuni. Yowe la kwanza litapasua ngoma ya sikio