Nini kipo nyuma ya ajenda ya UVCCM kuwa na jogging clubs?

Ni jambo baya kwa vyama vya siasa kuwa na mambo kama haya...leo wakizuka Cuf jogging club, CDM jogging club, ACT jogging club kesho utasikia CCM restaurant, mara CCM pub mara CCM night club mara CDM shop, mara ACT church mara chauma Mosque, mara CDM road, mara CCM hospital, mara ACT football club.

Watanzania tutakuwa na shida mahala sio bure..
Ccm wanajua wanachofanya ni kibaya na hawataruhusu wengine wawe na hayo makundi ni wao tu wenye haki.
 
Siku hizi Kila ukifungulia Chanel Ten habari utaona eti viongozi wakuu wa wilaya wakihamasisha vijana kukimbia mchakamchaka jogging clubs kuimarisha afya.

Swali la kujiuliza mikusanyiko hii Tena hawavai barakoa ni ya nini kipindi hiki cha maambukizi ya korona?

Pamoja na kwamba kufanya mazoezi ni Jambo jema lakini CCM kila wakifanyacho ujue kuna ajenda yenye hila ndani.

Huu ni mpango mkakati wa kijasusi kuelekea 2025 yangu macho mtaukumbuka huu Uzi japo nyuzi hufutwa sana siku hizi.
Counter attack: Chadema nao waige.
 
Nakuambia ccm ni chama Cha hila za kishetani chadema wakianzisha chochote ambacho kina sura ya kumobilize mass watazuiwa na polisi kwa sababu mbalimbali 1. Korona 2. Kibali 3. Vikundi vya kigaidi 4. Jeshi kinyume na Sheria
Juzi juzi mlikuwa na mobilization ya kidigitali nani aliwazuia?
 
Siku hizi Kila ukifungulia Chanel Ten habari utaona eti viongozi wakuu wa wilaya wakihamasisha vijana kukimbia mchakamchaka jogging clubs kuimarisha afya.

Swali la kujiuliza mikusanyiko hii Tena hawavai barakoa ni ya nini kipindi hiki cha maambukizi ya korona?

Pamoja na kwamba kufanya mazoezi ni Jambo jema lakini CCM kila wakifanyacho ujue kuna ajenda yenye hila ndani.

Huu ni mpango mkakati wa kijasusi kuelekea 2025 yangu macho mtaukumbuka huu Uzi japo nyuzi hufutwa sana siku hizi.
Usiogope hata MWAKA 2013 waliwahi anzisha jogging club wakawa wanabeba watu na uda kwenda chanika kituo kilikuwa dar live mbagara.
Na hakuna kilichotokea
 
Back
Top Bottom