Nini kingekua na nani angekuwa waziri mkuu

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,748
Ingetokea Lowasa ndo raisi ktk hii miezi 7 kipi unadhani angekiibua kipya
Na nani angelikuwa waziri wake mkuu
Na nani angelikuwa waziri wa fedha
Je ugavana wa banki kuu nani anfeshika
Mapato ya Tra yanguvuka lengo?
Karubuni
 
Eti angekua, angekua katika nini labda Rais wa wapiga kelele sio JMT... Hii miujiza haiwezekani ata kidogo Mtu aliemshinda uwazir mkuu anawezaje kua Rais wa Nchi
 
Waziri Mkuu angekuwa Mchungaji Peter Msigwa, Waziri wa Fedha Angekuwa Sugu, gavana angekuwa Malisa
 
hizi ndoto za kufikilika , kila nikipiga hesabu zinagongana ..yaani impossible labda kama wangeweza kuazima ccm
 
Habari za namna hii hutolewa zaidi na wapiga ramli na waganga wa kienyeji. Ni habari zisizokamilika na zisizojadilika. Zinaletwa zaidi na kundi la watu wanaotaka tupige porojo na kuacha kujadili na kuhoji masuala yanayoathiri maisha yetu sasa. Yaani tuache kujadili serikali inayotawala sasa, kisha tujikite kutabiri nini kingetokea kama Lowassa angekuwa Rais! figment of someone's imagination, at the highest level......
 
ndio maana watanzania walimkataa
 
Back
Top Bottom