Nini kinga na tiba ya tatizo letu ili la . . . . , | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kinga na tiba ya tatizo letu ili la . . . . ,

Discussion in 'JF Doctor' started by Avatar mok, Mar 16, 2012.

 1. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,226
  Likes Received: 2,722
  Trophy Points: 280
  Nimejishtukia kuwa kichwa changu kina mba mwingi sana sasa sipendi kutumia haya makemikali ya dukani so nilikuwa naomba msaada wa tiba ya kiasili zaidi kwa anae jua.. Na ili tatizo ni uchafu ama nini, maana nlikuwa na nywele ndefu (2cm actually) baada yakunyoa ndo najikuta ivo. Nini kinga na tiba?
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mba wenyewe ukoje? fafanua. Uko kama vipele? mkavu? umekufanya vidonda au?
   
 3. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,226
  Likes Received: 2,722
  Trophy Points: 280
  hauhisiki, ila ukichana nywele kama vumbi la ukoko,mwing kishenzi, siou wa mabaka,vpele wala ule wa vidonda
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mkuu nadhani ni dandruff/dry hiyo jaribu kutumia olive oil kumassage usiku kabla kulala na kama yatakuwa warm kidogo ni bora zaidi, au pia unaweza ukapaka juisi ya limao/ ndimu kisha kosha kichwa baada ya saa moja.

  Kama umefanya vipele au vidonda tumia juisi ya kitunguu maji ndio the best option, pakaa eneo lililoathirika halaf kosha baada ya nusu saa.

  All the best
   
 5. Avatar mok

  Avatar mok JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 3,226
  Likes Received: 2,722
  Trophy Points: 280
  naonaiyo juic ya ndim nitaimudu... Íla hamna vipele wala vidonda
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Na mimi ninaongeza Dawa hii Dawa Ya Dandruff Na Kutopata Mvi

  Chukua Majani Ya Mvuje Kidogo Kausha Na Ufanye Unga.
  Kisha Changanya Na Mtindi Vijiko Vya Supu 2 Au 3,
  Tia Kijiko Cha Chai Ndimu.
  Chanyanya Vizuri Tia Kwenye Nywele Na Ukoshe Baada Ya Masaa 2.
   
 7. G

  Godyp Senior Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapo hama lolote mmba ni sawa uchafu ukitaka kujua nini nasema chukua soap na brush sikushaur sana uchukue shampoo
   
Loading...