nini kinazikumba nchi za kiarabu jamani? political analysts tusaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini kinazikumba nchi za kiarabu jamani? political analysts tusaidieni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Mar 27, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nimekuwa nafuatilia sana upepo wa kisiasa nchi za kiarabu. karibia nchi zote zimekubwa na vuguvugu. sidhani kama kuna nchi itabaki salama. najiuliza, waarabu si watu wa demokrasia sana. wana historia ya kufanya mapinduzi ya kiislamu ila si ya kidemokrasia. je, nini kimeleta mwamko hivi? je, hali ya kisiasa itakuwaje baada ya kupata demokrasia? je, demokrasia italeta mabadiliko kwenye mgogoro wa palestina? au niulize, mwamko huu unaweza kuwachochea wapalestina waende barabarani? na je, nini kinaweza kutokea
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  mwenzio akinyoa..
  Ahaah! huyu nae eti waarabu wamekuaje,sasa anza kuhesabu 1,.2,...3,...kabla ya kufikia ..10 utauliza swali hilohilo juu ya nchi yako mwenyewe...ukifikisha 10 ndo utaelewe kwa nn Islamic states today?
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nothing else...ends of times....
   
Loading...