Nini kinawaponza wachezaji wetu (watanzania) kucheza la kulipwa soka ulaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kinawaponza wachezaji wetu (watanzania) kucheza la kulipwa soka ulaya?

Discussion in 'Sports' started by bepari mzalendo, Sep 14, 2012.

 1. bepari mzalendo

  bepari mzalendo Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najiuliza siku zote sipati jibu, ni kwa nini wachezaji wetu hawapati soko katika ligi maarufu ulaya??
   
 2. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  1.Vipaji vya wengi ni vya kawaida sana na bahati mbaya sana bado hata wenye vipaji vya kawaida hatuvikuzi,kuvipalilia...haviendelezwi.
  2.Mfumo mbovu wa mashindano ya michezo.
  3.Elimu ndogo ya wachezaji wetu.kwa mfumo wetu wa elimu ili mtu acheze mpira au kuendeleza kipaji chake vizuri basi ni lazima awe nje ya shule.Inabidi mchezaji achague shule au michezo.
  4.Historia inatuhukumu sana.Mchezaji wa Kitanzania akienda majaribio na mchezaji wa Congo au Nigeria ni rahisi kwa Mcongo kuchaguliwa hata kama uwezo wake ni sawa na wa Mtanzania,inakuwa rahisi mtu kuamini kuwa Mcongo atakuwa mchezaji mzuri kwa sababu historia inaonesha Congo wanatoa wachezaji wazuri kuliko Tanzania.
  5.Uongozi mbovu.Ingawa binafsi naiona hii kama sababu dhaifu kwa sababu mfano nchi kama Congo au Cameroon zina viongozi wabovu lakini kila siku wanatoa wachezaji wazuri na chipukizi wao wanatamba duniani...
   
 3. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mchezaji ni kama bidhaa! Ikizalishwa kwa ubora, ikatangazwa kwa ubora, itauzika tuu kwenye soko la nje
   
 4. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mimi nafikiri upeo wao yaani focus yao iko hapa nyumbani, inabidi wabadili mawazo waanze kuona mbali.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,026
  Likes Received: 745
  Trophy Points: 280
  Wanapenda ndondo ligi mtaani na sifa.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,926
  Trophy Points: 280
  Ulaya hakuna kocha mpuuzi wa kukubali ujinga wa kunywa viroba mazoezini.  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 7. bepari mzalendo

  bepari mzalendo Member

  #7
  Sep 15, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  But kuna wanaojielewa kaka, kama vipaji vipo., kwa mfano samatta, ngassa enzi zake na wengine wengi.. lazima kuna kitu extra kinachokosewa hapa na ndicho kinachotucost hata timu ya taifa, ni kitu gani hicho?
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  uchawi mwingi na kuridhika haraka ndo kinawaponza..
   
Loading...