Nini kinawakuta wanaoitwa kwenye kamati ya maadiri na madaraka ya Bunge,yanayopita huko nayo ni siri za Serikali?

lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
964
1,137
Nimekuwa nikijiuliza hivi,hawa wanaoitwa kwenye hiyo kamati nini huwakuta huko? Maana wanapotoka mle ndani hubadirika sura na kuonekana hawana amani. Je tendo lile na yanayopita mle ni siri za serikali pia kama zilivyo siri za baraza la mawaziri na hulishwa kiapo wasiseme?

Kwanini iwe siri,kama sakata la spika na Cag nilikuwa wazi mbele ya ulimwengu licha ya ndani ya nchi,kwanini baada ya utekelezaji wa agizo,kwanini iwe siri?

Nimemsikia mwenyekiti wa kamati akisema watalitolea maelezo baadae wao kama kamati, kwanini Assad afumbwe mdomo mpaka anazikimbia kamera, anaona wana habari siyo Rafiki?@P.Mayalla hebu unisaidie hapo kama utaweza. Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikijiuliza hivi,hawa wanaoitwa kwenye hiyo kamati nini huwakuta huko? Maana wanapotoka mle ndani hubadirika sura na kuonekana hawana amani. Je tendo lile na yanayopita mle ni siri za serikali pia kama zilivyo siri za baraza la mawaziri na hulishwa kiapo wasiseme? Kwanini iwe siri,kama sakata la spika na Cag nilikuwa wazi mbele ya ulimwengu licha ya ndani ya nchi,kwanini baada ya utekelezaji wa agizo,kwanini iwe siri? Nimemsikia mwenyekiti wa kamati akisema watalitolea maelezo baadae wao kama kamati, kwanini Assad afumbwe mdomo mpaka anazikimbia kamera, anaona wana habari siyo Rafiki?@P.Mayalla hebu unisaidie hapo kama utaweza. Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Humu kuna wanaJF wawili wanaweza kutusaidia:- Zitto na Pascal Mayalla. Nawasubiri waje watoe ufsfanuzi.
Niliomba ku reserve my comments, naomba mniruhusu kuendelea ku reserve my comments.
P.
 
Nimekuwa nikijiuliza hivi,hawa wanaoitwa kwenye hiyo kamati nini huwakuta huko? Maana wanapotoka mle ndani hubadirika sura na kuonekana hawana amani. Je tendo lile na yanayopita mle ni siri za serikali pia kama zilivyo siri za baraza la mawaziri na hulishwa kiapo wasiseme? Kwanini iwe siri,kama sakata la spika na Cag nilikuwa wazi mbele ya ulimwengu licha ya ndani ya nchi,kwanini baada ya utekelezaji wa agizo,kwanini iwe siri? Nimemsikia mwenyekiti wa kamati akisema watalitolea maelezo baadae wao kama kamati, kwanini Assad afumbwe mdomo mpaka anazikimbia kamera, anaona wana habari siyo Rafiki?@P.Mayalla hebu unisaidie hapo kama utaweza. Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsoma Zitto wa kabla ya kuitwa na baada...It seems hakuna kitu mule ni politicking tu...

wanaweza kutishika mimi au wewe mkuu lakini watu waliozoea harakati tangia wakiwa viranja au back benchers mashuleni, it's nothing...

Kwanini hawasemi mahojiano yalikuwaje na yeye amejiteteaje. Maana issue inakuwa front of majority before

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom