tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
''kwa kila tani 1m ya chuma unapata tani 80,000 ya Vanadium ambayo bei yake ni $50,000/tani Mauzo ya Vanadium peke yake ni sawa na dola bilioni nne kwa mwaka ambapo kwa kuwa haya ni bidhaa ambatana na chuma maana yake 80% ya mapato haya yangekuwa ya nchi'' Zitto Kabwe
Piga mahesabu hayo kwa kiwango cha uzalishaji kwa siku kwa mwaka kwa muda ambao malighafi hiyo itazalishwa na kumalizika mapato yatakuwa kiasi gani na faida zake zitakuwaje.
Hapo ndipo tunajiuliza nini kinatushida KUAMUA KUFANYA na IKAWA KWELI......?