nini kinasababisha watoto kuwa vichwa vikubwaaaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini kinasababisha watoto kuwa vichwa vikubwaaaa?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mbeba Maono, Jun 25, 2008.

 1. M

  Mbeba Maono Senior Member

  #1
  Jun 25, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamani, kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe. hivi, ni kwanini watoto wengine wanakuwa wanazaliwa na vichwa vikubwa hadi wanatisha, na wengine yaani nashindwa kueleza. na nini tufanye ili kuzuia hilo lisitokee,
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  inaweza kuwa ni qadar ya Mwenyezi Mungu, kurithi (genetical inheritance) nk.

  Lakini contamitants kama organochlorines zinazotumika kama pestcides and heavy metals kama mercury na lead ambavyo viko vkwenye vipodozi vya kina mama vinachangia kwa kiasi kikubwa. Hizi heavy metals huwa zina taba za kuaccumulate kwenye miili ya binadamu na hivyo kama mama ana kiwango kikubwa cha cha hizi metals hupelekea kwa impairment in fetal developement na kupelekea kuzaliwa kwa mtoto mwenye kichwa kikubwa in relation to other parts of the body. Wataalam wanaweza kukueleza zaidi, these are my two cents hivyo muwadiscourage wake zenu kutumia mikorogo msije mkawa part of statistics.
   
 3. M

  MiratKad JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninadhani hii inaitwa Down's Syndrome. Inarithika (Genetic). Caused by a presence of extra chromosome 21.
   
 4. M

  Mbeba Maono Senior Member

  #4
  Jun 27, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  asante, nimetembelea hospitali moja hivi hapa dar, nilikutana na mtoto mmoja ana kichwa kikubwa hadi unaweza ukaogopa na kukimbia. mamake anapata shida sana. naomba madaktari toeni maoni yenu ili kama kuna akina dada humu, wajiepushe na vitu hivyo kama si vya kurithi.
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...I hope hayo maelezo hapo juu yanaweza saidia ufahamu.
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hapana, down syndrome ni kitu tofauti mkuu.
   
Loading...