Nini kinasababisha viuvimbe kutoka sehemu mbalia mbali mwilini

MNDEE

JF-Expert Member
Jul 10, 2009
491
68
Huyu mgonjwa alishawahi kufanyiwa surgery mara mbili kuondolewa uvimbe usoni zaidi ya miaka 10 iliyopita. Hivi karibuni viuvimbe vinajitokeza masikioni, shingoni na sasa vinatoka kwapani. Amepimwa damu tatizo halionekani, kulingana na wataalmu KCMC na Muhimbili hizo vimbe sio zile za jamii ya cancer.

Najaribu pia kusearch internet, lakini pia nimeona nije hapa kuomba msaada kama wewe ni dr. au una fahamu hili tatizo nitashukuru ukinipatia details aidha hapa au kupitia PM, thanks.


 
WomanofSubstance thank you for asking that question. Infact his dr' at Muhimbili has rulled out tumors he think it is calcium build, he has ordered more tests including liver test. In the meantime we need a second opinion.
 
JF Mods, thanks for the cleanup and kicking out the crasher.
 
Back
Top Bottom