Nini kinasababisha mikono kuwaka moto au kua na dalili za homa kali? please msaada

BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,148
2,158
Habari zenu wanajukwaaa...Nina tatizo karibia mwaka sasa yani mikono inakua na dalili za homa,joto,na kuwa na joto kama vile nae ota moto lakini ni kwa ndani mpaka kuna wakati hua namwagia maji ndo najisikia vizuri...nimeenda hospital kadhaa napimwa naambiwa ni maralia nikimaliza dozi hiyo hali inapungua tu...Sio kwamba nashindwa kufanya shughuli zangu lah ila hii hali inaninyima raha na hasa nyakati za usiku mpaka hua najipulizia....mwenye kufahamu dawa pliz let me know
 
Back
Top Bottom