Nini kinasababisha Matiti ya mwanamke kuanguka?

Hivi tumewahi kujiuliza maswali mengine ya kitoto kama haya??

1. Kwa nini watu wengine ni weusi sii (kama mkaa( na wengine weupe (utadhani albino) hata kama ni Waafrika??
2. Kwa nini watu wengine ni warefu na wengine ni vijeba??
3. Kwa nini familia nyingine zinaathiriwa na ugonjwa fulani kuliko majirani zao?
4. n.k...nk.??

Labda tukiwaza hivyo basi tutaweza kupata walau hints za kutusaidia kujua kwa nini kuna tofauti za maungo mbali mbali ya mwili ikiwemo matiti!!
 
[h=1]Causes of Sagging Breasts[/h]Many women, and even some teenage girls, are concerned about the appearance of their breasts. It is inevitable for adult breasts to sag over time, due to the effects of gravity and skin aging. However, understanding the causes of sagging breasts can sometimes help to prevent excessive drooping.


  • [h=2]Smoking[/h]
    • Tobacco smoke contains free radicals that damage skin cells, causing them to lose elasticity. This can lead to more facial wrinkles and sagging breasts.

    [h=2]Pregnancy[/h]
    • After weaning, or directly after pregnancy if a woman does not breastfeed, the tissues inside the breast shrink and lose elasticity. Breastfeeding does not cause sagging breasts, but may delay the process.

    [h=2]Wearing a Bra[/h]
    • Despite common misconceptions, wearing a bra may cause--not prevent--sagging breasts. The ligaments that hold breasts up can become thinner and weaker if a bra is worn full-time.

    [h=2]Weight Loss[/h]
    • When a woman loses weight, her breasts maintain the same amount of skin, but some of the fatty tissue inside them is lost. This may result in an "empty" appearance.

    [h=2]Menopause[/h]
    • During menopause, the ducts and glands inside the breast diminish in size because they will no longer be needed for producing milk. This can cause breasts to appear saggy.



 
Mimi nadhani ni km nawe unafika wkt unazeeka,wataalam nadhani watakuja kisomi zaidi.
 
On transit...wrong site...sijasoma jamani ....napita kimya kimya....
 
Kwa historia tukubali kuwa hii hali haikuepo zamani kama ilivyo sasa, kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya mabadiliko ya kimaumbile, wengi wetu vyakula tunavyokula sasa ni hatari, sayansi na teknologia imetufanya tujue ambayo ni zaidi ya umri wetu na hivyo tunajikuta tunajiingiza katika mapenzi tukiwa wadogo sana, kuzaa mapema pia ni sababu, kutoa mimba {uwezekano mkubwa ni kwamba karibu kila wasichana 10 ni mmoja au wawili tu hajatoa}





he who suffers must be the cause of it
 
Hii topic ya matiti kuanguka inapendwa sana.Baada ya miezi miwili inaibuka tena.Hivi wake zenu matiti yakilala kinapungua nini katika mvuto wake au tendo la ndoa?

Hapa tunataka sababu za kuanguka kwa ziwa, maswala ya ufanisi kwenye tendo anzisha thread yako.
 
Naam, somo mubashara kabisa

In other words, those are tips on how to help us avoid finger-pointing women who share the discussed attribute in this uzi
 
Back
Top Bottom