Nini kinapelekea watu kusaliti kwenye mahusiano?

laskaboza

Senior Member
Jun 8, 2020
133
1,548
Wandugu,

Ni sababu zipi za msingi zinazopelekea watu wanaopendana kusalitiana?
 
Inategemeana, Kuna wengine wanadhamiria kabisa kufanya hvyo na wengine inatokeaga tu amejikuta mtegoni na kundi hili la pili baada ya hapo hua na majuto sana
 
Huwezi kula maharage kila siku
FB_IMG_16357685162739964.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom