Nini kinapelekea baadhi ya raia wa Afrika kuhatarisha maisha wakitaka kwenda Ulaya?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nini kinapelekea baadhi ya raia wa Afrika kuhatarisha maisha kwa njia kama hizi wakitaka kwenda Ulaya?

Huyu ni mmoja kati ya watu wawili raia wa Guinea waliokuwa wamejificha kwenye mfuko mwengine amefichwa katika eneo la kiti cha nyuma cha gari wakitarajia kuingia Ulaya kimagendo.

 
Back
Top Bottom