Nini kinamfanya mtu kuwa celebrrity?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kinamfanya mtu kuwa celebrrity??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mtazamaji, May 22, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamii

  Ninapenda kujua mawazo yenu juu ni SIFA, TABIA, UWEZO,.... etc gani vinamfanya mtu kuwekwa kwenye kundi la macelebtrbrity??

  Au kuweka kivingine napenda kujua definition ya hili neno celebrity.eg

  NANI anafanya mtu kuwa celebrity?
  NINI kinamfanya MTU kuwa au kutokuwa Celebrity
  WAPI panafaa kutafutia u celebrity
  N.K( NA viulizo vinginevyo)

  Itakuwa vizuri tupate majibu yanayoendana na hali ya kitanzania.

  nawasilisha
   
 2. m

  mancy Member

  #2
  May 22, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani bora umeamua kuweka hili swali maana hata mimi sielewi
   
 3. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Watu wengi hudhani ili uwe celebrity ni lazima uwe na pesa nyingi , yani tajiri ndio maan hapa Tanzania mtu akiitwa celebrity wengi hubeza kw akusema "eti huyu naye ni a celebrity" wakiamini hawezi kua celebrity mbaka awe na billions au awe natoka fammilia fulani ambayo iko juu kiuchumi.

  Celebrity ni mtu yeyote alie maarufu kwa kuweza tambulika kirahisi popote anapo kwenda au kutokea iwe kimataifa au kwnye sehemu aliyopo, bada ya kuvuma iwe kwenye vyombo vya habari au kwenye masuala ya burudani au hata sehemu aishiyo kwa kuhusishwa na shughuli rasmi anayo ifanya . moja ya sifa za celebrityy ni kujitenga kuchagua watu wa kuw anao karibu nao na kujitenga kwa watu wengi.
   
 4. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Watu wengi hudhani ili uwe celebrity ni lazima uwe na pesa nyingi , yani tajiri ndio maan hapa Tanzania mtu akiitwa celebrity wengi hubeza kw akusema "eti huyu naye ni a celebrity" wakiamini hawezi kua celebrity mbaka awe na billions au awe natoka fammilia fulani ambayo iko juu kiuchumi.

  Celebrity ni mtu yeyote alie maarufu kwa kuweza tambulika kirahisi popote anapo kwenda au kutokea iwe kimataifa au kwnye sehemu aliyopo, bada ya kuvuma iwe kwenye vyombo vya habari au kwenye masuala ya burudani au hata sehemu aishiyo kwa kuhusishwa na shughuli rasmi anayo ifanya . moja ya sifa za celebrityy ni kujitenga kuchagua watu wa kuw anao karibu nao na kujitenga kwa watu wengi.

  Pia celebrity wana zidiana kipato kuna wanao pata umaarufu tuu bila pesa na kuna wanao pata umaarufu na kutengeneza pesa nyingi .

  Hapa kwetu mtu ambaye ameibuka na kua celebrity ambao wengie wana weza sema sio ni Mange Kimambi (baada ya ze Utamu)
   
 5. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,844
  Likes Received: 20,870
  Trophy Points: 280
  A celebrity (sometimes referred to as a celeb in popular culture) is a person who is easily recognized in a society or culture.
  Generally speaking, a celebrity is someone who gets media attention and shows an extroverted personality. There is a wide range of ways by which people may become celebrities: from their profession, appearances in the mass media, or even by complete accident or infamy. Instant celebrity is the term that is used when someone becomes a celebrity in a very short period of time. In some places, someone that somehow achieves a small amount of transient fame, through hype or mass media, is stereotyped as a B-grade celebrity. Often the stereotype extends to someone that falls short of mainstream or persistent fame but seeks to extend or exploit it. In the 21st century, the insatiable public fascination for celebrities and demand for celebrity gossip has seen the rise of the gossip columnist, tabloid, paparazzi and celebrity blogging.
  The rise of international celebrities in acting and popular music is due in large part to the massive scope and scale of the media industries, enabling celebrities to be viewed more often and in more places.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mfano mdogo je Tunaweza Kuwaita wafanya biashara kama Mengi, Azam, Rostam Azim Macebrity ?
  Je Viongozi kama Rais( JK , Obama, etc) wale wanashikilia nafasi za umma nao ni macelebrity? Eg kwa Tanzania RPC, RC , Mawaziri, Daktari anayesifika etc. Sababu wanaandikwa kila leo kwenye magazeti. iwe kwa kashfa au mazuri wanayofanya
   
 7. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,844
  Likes Received: 20,870
  Trophy Points: 280
  kuna wafanyabiashara unaweza kuwaita ma-celeb lakini wengine huwezi kuwaita maceleb vile vile kuna wana siasa unaweza kuwaita maceleb wengine no.
  OBAMA ni celeb lakini BUSH huwezi kumuita celeb
  JK unaweza kusema ni celeb president lakini MKAPA no
  Ukiwaangalia hao wanasiasa utaona wanavyotofautiana katika umaarufu wao ingawa wote ni maarufu na wanajulikana sana
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hahahhaa aksante kwa mfano wako ina maana Magazeti ya udaku na mitandao ya kidaku ndio hasa vyombo vinawafanya watu kuwa macelebrity.
   
 9. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,816
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  bangi.kanumba,irene uwoya maselebu,kikwete siyo?
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  So its the Media wich manufactire celebrities.?
   
 11. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kuwa celeb sio lazima kwa hayo yaliyotajwa hapo juu yapo mengi mfano kuna jamaa alikuwa celeb kwa sababu tu ya ulevi na kwa kuwa kazi yake ilikuwa ni ualimu basi akaitwa ticha mlevi na hakuna aliyekuwa hamfahamu katika maeneo aliyokuwa anatembelea.
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kuwa Celeb TZ;

  WAKIUME; Vaa kata Kei...

  WAKIKE; Achia Manyoyo nje...
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  WA KIUME: Suka nywele, toboa masikio
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!tuwe makini jamani wana JF,sasa hii ndiyo tena!!
   
Loading...