Nini kinakuumiza kichwa katika biashara yako/zako?

Biashara nyingi zina changamoto ya madeni tusaidiane jinsi ya kuyakabili, naona ligi mmeielekeza upande wa maboss na waajiriwa baasi.
 
Kuna watu wanazingua kweli wanahisi wao tu ndio wana ndoto za maisha wengine wapo kusindikiza miaka miwili hulipi mtu! Akikimbia unaanza lalamika kana kwamba yeye alikua sawa.
Eti vijana wana tamaa nyenyenyeee ...wanajikuta wao wana ambition ila wengine ni robots tu za kuwatimizia ndoto zao, wakipata wa kumfuja ndio wanasema muaminifu sijui bora sijui anajituma, stupid kabisa!
 
Biashara nyingi zina changamoto ya madeni tusaidiane jinsi ya kuyakabili, naona ligi mmeielekeza upande wa maboss na waajiriwa baasi.
Pole sana Mkuu wangu,

Kwa kawaida wafanyabiashara huchukua mkopo wa fedha kwa lengo la kuja kuifanyia biashara ili kitachopatikana kitumike kufanya marejesho ya mkopo.

Kabla ya mfanyabiashara kuchukua mkopo ni vema kuwa na uelewa mpana juu ya mzunguko wa fedha wa biashara yako, kwa maana ya fedha inayoingia kwa njia ya mauzo na fedha inayotoka kulipa gharama za uendeshaji wa biashara katika kipindi maalumu mfano kila siku, wiki, mwezi n.k na njia nyepesi na uhakika kujua mzunguko wa fedha za biashara ni kupitia ripoti za kumbukumbu za miamala ya fedha.

Ukiwa na taarifa sahihi ya mzunguko wa fedha katika biashara yako inakusaidia kutochukua mkopo kuliko uwezo wa biashara yako kurejesha mkopo. Na uwezo wa biashara kurejesha mkopo unaakisiwa na mzunguko wa fedha. Na ndio maana hata ukienda benki watakutaka upeleke hii ripoti ya makadirio ya mzunguko wa fedha ili waone kama unaweza kumudu kurejesha.

Mfano wa mzunguko wa fedha, kama unajua biashara yako ina mauzo ya TZS 10,000 na gharama ya uendeshaji ni TZS 5,000 na baki ni TZS 5,000 kwa mwezi huwezi chukua Mkopo wa marejesho ya TZS 6,000 kwa sababu inazidi baki ya TZS 5,000.

Hata Hivyo wafanyabiashara kutokana na kutokuwa na taarifa sahihi juu ya mzunguko wa fedha huingia mkenge wa madeni ambayo biashara haiwezi kumudu.

Sababu nyingine ni ukosefu wa nidhamu ya fedha. Hapa unaweza kuta mzunguko wa fedha hauna shida ila fedha inatumika kabisa kinyume na malengo ya kukopea.

Pia inaweza tumika sawa na malengo lakini wafanyabiashara wana tabia ya udokozi wa fedha za biashara. Udokozi ni pale mtu unachukua fedha za biashara na kwenda kufanya matumizi binafsi kwa ujumla wake. Mfano kuna jamaa mtaani ni mfanyabiashara wa kushona nguo kila siku ikifika jioni anachota mauzo kwenda kunywa bia, matokeo yake ikifika kipindi cha kulipa kodi ya pango anaanza kuhangaika kutafuta fedha za kulipa kwa sababu hana fedha za pamoja matokeo yake analazimika kukopa fedha ambayo ni sawa na ile aliyotumia kunywa bia.

Suluhu
Jitahidi kutunza kumbukumbu za mzunguko wa fedha ile kuepuka mikopo inayozidi uwezo. Kopa mkopo unaohimili

Buni mkakati wa kuongeza mauzo, tafuta vyanzo vipya vya mapato na tafuta namna ya kupunguza gharama za uendeshaji ili kuongeza baki.

Kuwa na nidhamu ya fedha, kwa kutumia mkopo sawa malengo ya kukopea.

Kuwa na nidhamu ya fedha, kwa kuhakikisha hutumii pesa ya biashara kwa matumizi binafsi.

Pia usikope pesa kufanya biashara ambayo huna taarifa nayo ya uhakika. Sio ile nimesikia biashara fulani inalipa unakimbilia mkopo.
 
hii biashara ya magar tunakosea wapi?? mm pia imenpiga
MZEE MIE ni usimamizi, maana niliweka kama kazi ya ziada na nikawapa vijana ambao ninawaona kwenye game kila siku.

Wale vijana wakalewa mafanikio wakawa wanaanza kuwafundisha wenzao, mwisho wa siku wakawa wanagawa kazi(wanaanza kazi bila kukagua chombo) kufanya story fupi nimebakia na deni na chombo mbovu, nikitazama gari naona stress ni bora nitazame miti ya maembe ambayo maua yake yanadondoshwa na upepo.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
MZEE MIE ni usimamizi, maana niliweka kama kazi ya ziada na nkawapa vijana ambao nina waona kwenye game kila siku..
wale vijana wakalewa mafanikio wakawa wanaanza kuwafundisha wenzao, mwisho wa siku wakawa wanagawa kazi( wanaanza kazi bila kukagua chombo) kufanya story fupi nimebakia na deni na chombo mbovu... nikitazama gari naona stress ni bora nitazame miti ya maembe ambayo maua yake yanadondoshwa na upepo..
Dah kweli kila mtu na tatizo lake. Mimi nilinunua gari kumbe bovu, likala pesa zangu zote. Wewe umebahatika gari nzima ila usmamiz ukawa ndio hivyo duh.
 
nmeishia la pili B. sijui hyo revenue analytic ndo nn
Mchanganuo wa mapato(nauli + malipo ya kusafirisha mizigo) na matumizi(mafuta,matengenezo,mishahara n.k).............ya miezi 2 ya mwisho kabla biashara haijafa
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kuna washkaji zangu nawafaham wanakampuni fulani mpya, ya science and technology niprivate kampun yakwanza kufunguliwa hapa bongo inayotoa hudama kama watoazo, Ila kuna taasisi moja ya Serikali tu ndio inatoa huduma kama zao.

Jamaa walibahatika kupata vijana wawil 2018 mwishon mpaka sasa napoongea kijana mmoja ndio kabaki wakiume,wakike alikimbia, maana walikuwa hawawalipi chochote hata nauli.

Lkn mwaka huu wiki iliyopita ndio wamemtafutia kijana chumba cha kukaa, wanalipia kila kitu wao ,umeme,maji na kodi. Lakini bado yule kijana hawajaanza kumlipa ingawa huwa wanampa ela yakula mara mojamoja sana.

Mpaka nasema waajiri wote wangepata vijana kama huyo kijana basi biashara zingendelea san.Kijana anazunguka kutafuta wateja balaa, kijana anaandaa documents zote, kijana anaenda site anapiga kazi za mamilion lkn bado katulia nahalipwi mpaka sasa. Wanadai wataanza kumlipa mwaka ujao mwanzo.

Kiukweli yule kijana daah licha ya elimu yake degee/diploma siju lakini ukimuona namzigo anaopiga unaweza sema ni jamaa tu ambae hajasoma. Washkaji wenye kampun wameajiriwa serikalini ,engine yao nihuyo kijana siku akiwakimbia nahisi kampuni yao itakufa.
Ndio maisha mnayoyataka haya, enyi waajiri?

Na hawajamuahidi hata stock au asilimia ya faida...
 
Ndio maisha mnayoyataka haya, enyi waajiri?

Na hawajamuahidi hata stock au asilimia ya faida...
Tukiacha mambo ya kuajiri, tuje katika maisha mengine kabisa

Rayvanny enzi anaitwa Raymond unajua alikaa WCB kwa muda gani mpaka anatambulishwa rasmi kama member? Zuchu je?! Unajua alikaa WCB kwa muda gani mpk anakuja tambulishwa rasmi kama member official? Achana na hao

Tuje kwa MBOSSO unajua alisugua benchi kwa muda gani? Mbosso tena alikua WCB wenzake wanaenda show wao wapo tu hata sh 100 ya maji hana, alikua WCB lakini msoto aliokua anaupitia sio wa kawaida na sio kwamba huyo DIAMOND au kina tale walikua hawamuoni, walikua wanamuona daily. Kwanini sasa walikua hawamsaidii kum sign aanze pata pesa zake kupitia muziki wake/kipaji chake?!

Kwani Mbosso/Zuchu, Raymond na wengine wameanza kuonyesha vipaji baada ya kutambulishwa jamvini? Walikua na vipaji vyao tangu hukoo kabla hata ya lebo WCB haijulikani.

Unaweza nisaidia niambia kwanini walikua wanasita kuingiza wasanii wapya kwenye lebo mpaka wajiridhishe nae? Unazijua sheria na taratbu za mpaka kukubaliwa kuwa member wa WCB?? Kama ni msoto basi waulize wasanii wa WCB nini maana ya msoto watakueleza maana yake..

Huo ni mfano HAI ambao ni rahisi sana kueleweka, iko hivi mkuu mtu hawezi kukukabidhi ofisi yake usimamie kama hata huwezi simamia na tatua matatizo madogo madogo tu ambayo unakutana nayo ukiwa katika biashara yake.

Mtu unamkabidhi pikipiki/gari imsaidie katika kufatilia biashara zako, ila chombo cha usafiri anachokitumia yeye kwa zaidi ya asilimia 81 kinapata hitilafu "harekebishi" ana paki hapo, anakwambia kitu flani kimeharibika. Maana yake anataka mimi ndio nitengeneze.

Mtu unamuacha ofisini unasafiri, huku nyuma wanakuja TRA/TFDA wanakuta kasoro ofisini badala a solve tatizo halafu boss akirudi amueleze A B C D, yeye anaacha OFISI inapigwa kufuli wakati alikua ana uwezo wakuchukua hata 50,000 akawapa wale raia wakasepa boss akirudi unamuelezea ilikua hv hv hv, ila anakubali ofisi ifungwe halafu anarudi kulala nyumbani kwasababu anajua boss haupo na ofisi imefungwa.

Mkuu hamna mwajiri yuko tayari ajiri au muachia mwajiriwa ofisi aisimamie kama huyo muajiriwa hajielewi, kujielewa si tu katika utendaji kazi bora, ila kuna mambo mengi sana yanayoweza kukuonyesha huyu mtu anajielewa.

Mwajiri bora si yule anaetoa mshahara mkubwa, ingekua hivyo basi wahindi wasingekua wanalalamikiwa kila siku kuna vitu extra ambavyo mwajiri anataka avione kwa mwajiriwa wake lakini waajiriwa wengi wame-focus kwenye mishahara, ukitaka mfanyakazi afanye kazi sanaaa, atumie akili yake 99% kazini mlipe mshahara mkubwa jambo ambalo si sawa mfanyakazi anaekuwa bora kwasababu ya mshahara anaopokea huyo si mfanyakazi.

Biashara zina ups n down, vipi siku kampuni ikifilisiwa kabisa boss ukashindwa lipa hata wafanyakazi mishahara unafkiri kuna mfanyakazi ataebaki na wewe hapo? Mimi kuna wakati nachelewesha mishahara makusudi kabisa, sio kwamba nakuwa sina hela ya kulipa raia ila nachelewesha makusudi nione hali zao wangapi watamudu.

Kwahiyo mkuu hamna mwajiri anapenda kutesa wafanyakazi wake, HAKUNA ila kuna vitu waajiri wenye future wanatamani kupata wafanyakazi CREAM, unajua kuna wafanyakazi halafu kuna ile CREAM ya wafanyakazi ambao mpaka unampata mfanyakazi cream unaweza kaa kwenye biashara katika miaka mi 5 ukampata m 1.

Kuna vitu vingi mkuu ila mimi nataka tu ufahamu hamna boss anapenda tesa wafanyakazi wake labda huyo boss awe na mapepo tu.
 
Anataka kujishikiza kwenye kazi za wenzake , daaah, Ila Hilo jibu lako limenifurahisha Sana
Kweli wewe ndio boss, mtu anakuja kuomba kazi anakwambia anaomba "Ajishkize" na kweli ukiangalia unahitaji mfanyakazi kama yeye, vipi utamuajiri au utamtakia safari njema huko aendako?
 
Tukiacha mambo ya kuajiri,tuje ktk maisha mengine kbsa

Rayvanny enzi anaitwa Raymond unajua alikaa WCB kwa muda gani mpk anatambulishwa rasmi kama member? Zuchu je?! unajua alikaa WCB kwa muda gani mpk anakuja tambulishwa rasmi kama member official? Achana na hao

tuje kwa MBOSSO unajua alisugua benchi kwa muda gani? mbosso tena alikua WCB wenzake wanaenda show wao wapo tu hata sh 100 ya maji hana,alikua WCB lkn msoto aliokua anaupitia sio wa kawaida,na sio kwamba huyo DIAMOND

au kina tale walikua hawamuoni,walikua wanamuona daily...Kwanini sasa walikua hawamsaidiiii kum sign aanze pata pesa zake kupitia muziki wake/kipaji chake?!

kwani mbosso/zuchu,raymond,na wengine wameanza kuonyesha vipaji baada ya kutambulishwa jamvini? walikua na vipaji vyao tangu hukoo kabla hata ya lebo wcb haijulikani.

Unaweza nisaidia niambia kwann walikua wanasita kuingiza wasanii wapya kwenye lebo mpk wajiridhishe nae? Unazijua sheria na taratbu za mpk kukubaliwa kuwa member wa WCB?? kama ni msoto basi waulize wasanii wa wcb nini maana ya msoto watakueleza maana yake..

Huo ni mfano HAI ambao ni rahisi sana kueleweka,iko hivi mkuuu mtu hawezi kuku kabidhi ofisi yake usimamie kama hata huwezi simamia na tatua matatizo madogo madogo tu ambayo unakutana nayo ukiwa ktk biashara yake.

Mtu unamkabidhi pikipiki/gari imsaidie ktk kufatilia biashara zako,ila chombo cha usafiri anachokitumia yeye kwa zaidi ya asilimia 81 kinapata hitilafu "harekebishi" ana paki hapo,anakwambia kitu flani kimeharibika. maana yake anataka mimii ndio nitengeneze.

mtu unamuacha ofisini unasafiri,huku nyuma wanakuja TRA/TFDA wanakuta kasoro ofisini badala a solve tatizo halafu boss akirudi amueleze A B C D,yeye anaacha OFISI inapigwa kufuli wakati alikua ana uwezo wakuchukua hata 50,000 akawapa wale raia wakasepa boss akirudi unamuelezea ilikua hv hv hv,ila anakubali ofisi ifungwe halafu anarudi kulala nyumbani kwasababu anajua boss haupo na ofisi imefungwa..

Mkuu hamna mwajiri yuko tayari ajiri au muachia mwajiriwa ofisi aisimamie kama huyo muajiriwa hajielewi,kujielewa si tu ktk utendaji kazi bora,ila kuna mambo mengi sana yanayoweza kukuonyesha huyu mtu anajielewa.

Mwajiri bora si yule anaetoa mshahara mkubwa,ingekua hivyo basi wahindi wasingekua wanalalamikiwa kila siku kuna vitu extra ambavyo mwajiri anataka avione kwa mwajiriwa wake lakn waajiriwa wengi wame focus kwenye mishahara,uktaka mfanyakazi afanye kazi sanaaa,atumie akli yake 99% kazini mlipe mshahara mkubwa jambo ambalo si sawa mfanyakazi anaekua bora kwasababu ya mshahara anaopokea huyo si mfanyakazi.

Biashara zina ups n down,vipi siku kampuni ikifilisiwa kbsa boss ukashndwa lipa hata wafanyakazi mishahara unafkiri kuna mfanyakazi ataebaki na wewe hapo? mimi kuna wakati nachelewesha mishahara makusudi kabisa,sio kwamba nakua sina hela ya kulipa raia ila nachelewesha makusudi nione hali zao wangapi watamudu...

kwahiyo mkuuu hamna mwajiri anapenda kutesa wafanyakazi wake HAKUNA ila kuna vitu waajiri wenye future wanatamani kupata wafanyakazi CREAM unajua kuna wafanyakazi halafu kuna ile CREAM ya wafanyakazi,ambao mpk unampata mfanyakazi cream unaweza kaa kwenye biashara ktk miaka mi 5 ukampata m 1....

Kuna vitu vingi mkuu ila mimi nataka tu ufahamu hamna boss anapenda tesa wafanyakazi wake labda huyo boss awe na mapepo tu.

Unazungumza mambo mengi sana mkuu. Unashika hili unaacha.

1. Uvumilivu wa mfanyakazi biashara ikipitia downs: sasa biashara ikiwa njema unawapa peanuts then ukiharibikiwa unataka wastick na wewe? For what? Ugekuwa unawalipa vizuri wangeiona hali halisi na kuchagua wawe wavumilivu au wasepe. Its their right. Nothing you can do to force them.

2. Mwajiriwa akae benchi kwanza for a limited amount of time kabla ya kuanza kula raha mfano wcb singers. Understandable, Probation like. Ila at the end of the day walipwe according to the value that they offer. Sijaona ukigusia hili. Unataka probation iendelee forever? By the way, raymond, zuchu hawakuwa wakiingiza fedha wcb kabla ya kutambulishwa tofauti na staff wako ambaye ataanza kudeliver value from day 1 or else una matatizo kwenye hiring process yako.

3. Unatest loyalty ya wafanyakazi kwa kuwacheleweshea mishahara (stupid, childish, usiongee hili mbele ya watu wazima TENA). Dakika mbili mbele unasema hakuna mwajiri anayependa kutesa wafanyakazi wake makusudi. Can you see how silly it sounds? Limekaa kinafiki sana. Hao sio wake zako. Hamna mkataba wa shida na raha. Mna mkataba wa kudeliver value kwa malipo ya kiasi kadhaa kila baada ya siku zilizoainishwa.

4. Matatizo ya wafanyakazi. Kama hajielewi unaye wa nini? Sioni linaingiaje hapa. Kama hajielewi hata ukimpa mamilioni haitamfanya ajielewe.

5. Mfanyakazi anayefanya kazi vizuri kwasababu ya mshahara mkubwa sio mfanyakazi bora. Ni sawa na Unaniambia mfanyabiashara anayepambana kuimprove biashara yake ili apate faida sio mfanyabiashara bora.

Maoni yangu naona kuna tatizo la power play. Unajaribu kuexert your power over wafanyakazi wako kama mwajiri wao, ili uweze kupata as much as you can from them at minimum cost, instead of having clear roles and responsibilities and rewarding them according to their performance. Ndio hizo psychological manipulation za uvumilivu na loyalty zinapotokea.
 
sawa
 
Mimi ni kuongeza customers base,natamani nipate kijana atayejua how to approach customers & customers retention huwa naumia kichwa sana mkuu vijana wengi sisi akiona mnalingana kimo tu basi sijui dharau au basi anaona mpo sasa, hata umakini anakosa wakati mwisho wa mwezi pesa anataka, yaani ukimpa targets za mwezi ndio kuzidi.
Ukiwa unatafuta mtu mwingine wa kkusaidia hzo ishu zako nishitue naweza kuwa msaada kwako
 
Tukiacha mambo ya kuajiri,tuje ktk maisha mengine kbsa

Rayvanny enzi anaitwa Raymond unajua alikaa WCB kwa muda gani mpk anatambulishwa rasmi kama member? Zuchu je?! unajua alikaa WCB kwa muda gani mpk anakuja tambulishwa rasmi kama member official? Achana na hao

tuje kwa MBOSSO unajua alisugua benchi kwa muda gani? mbosso tena alikua WCB wenzake wanaenda show wao wapo tu hata sh 100 ya maji hana,alikua WCB lkn msoto aliokua anaupitia sio wa kawaida,na sio kwamba huyo DIAMOND

au kina tale walikua hawamuoni,walikua wanamuona daily...Kwanini sasa walikua hawamsaidiiii kum sign aanze pata pesa zake kupitia muziki wake/kipaji chake?!

kwani mbosso/zuchu,raymond,na wengine wameanza kuonyesha vipaji baada ya kutambulishwa jamvini? walikua na vipaji vyao tangu hukoo kabla hata ya lebo wcb haijulikani.

Unaweza nisaidia niambia kwann walikua wanasita kuingiza wasanii wapya kwenye lebo mpk wajiridhishe nae? Unazijua sheria na taratbu za mpk kukubaliwa kuwa member wa WCB?? kama ni msoto basi waulize wasanii wa wcb nini maana ya msoto watakueleza maana yake..

Huo ni mfano HAI ambao ni rahisi sana kueleweka,iko hivi mkuuu mtu hawezi kuku kabidhi ofisi yake usimamie kama hata huwezi simamia na tatua matatizo madogo madogo tu ambayo unakutana nayo ukiwa ktk biashara yake.

Mtu unamkabidhi pikipiki/gari imsaidie ktk kufatilia biashara zako,ila chombo cha usafiri anachokitumia yeye kwa zaidi ya asilimia 81 kinapata hitilafu "harekebishi" ana paki hapo,anakwambia kitu flani kimeharibika. maana yake anataka mimii ndio nitengeneze.

mtu unamuacha ofisini unasafiri,huku nyuma wanakuja TRA/TFDA wanakuta kasoro ofisini badala a solve tatizo halafu boss akirudi amueleze A B C D,yeye anaacha OFISI inapigwa kufuli wakati alikua ana uwezo wakuchukua hata 50,000 akawapa wale raia wakasepa boss akirudi unamuelezea ilikua hv hv hv,ila anakubali ofisi ifungwe halafu anarudi kulala nyumbani kwasababu anajua boss haupo na ofisi imefungwa..

Mkuu hamna mwajiri yuko tayari ajiri au muachia mwajiriwa ofisi aisimamie kama huyo muajiriwa hajielewi,kujielewa si tu ktk utendaji kazi bora,ila kuna mambo mengi sana yanayoweza kukuonyesha huyu mtu anajielewa.

Mwajiri bora si yule anaetoa mshahara mkubwa,ingekua hivyo basi wahindi wasingekua wanalalamikiwa kila siku kuna vitu extra ambavyo mwajiri anataka avione kwa mwajiriwa wake lakn waajiriwa wengi wame focus kwenye mishahara,uktaka mfanyakazi afanye kazi sanaaa,atumie akli yake 99% kazini mlipe mshahara mkubwa jambo ambalo si sawa mfanyakazi anaekua bora kwasababu ya mshahara anaopokea huyo si mfanyakazi.

Biashara zina ups n down,vipi siku kampuni ikifilisiwa kbsa boss ukashndwa lipa hata wafanyakazi mishahara unafkiri kuna mfanyakazi ataebaki na wewe hapo? mimi kuna wakati nachelewesha mishahara makusudi kabisa,sio kwamba nakua sina hela ya kulipa raia ila nachelewesha makusudi nione hali zao wangapi watamudu...

kwahiyo mkuuu hamna mwajiri anapenda kutesa wafanyakazi wake HAKUNA ila kuna vitu waajiri wenye future wanatamani kupata wafanyakazi CREAM unajua kuna wafanyakazi halafu kuna ile CREAM ya wafanyakazi,ambao mpk unampata mfanyakazi cream unaweza kaa kwenye biashara ktk miaka mi 5 ukampata m 1....

Kuna vitu vingi mkuu ila mimi nataka tu ufahamu hamna boss anapenda tesa wafanyakazi wake labda huyo boss awe na mapepo tu.
Too irrelevant!
 
Back
Top Bottom