Nini kinaisibu Tanzania ya kijani?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Haijawahi kutokea Tanzania yetu ikashuhudia haya yanayoendelea. Kwamba uchaguzi unaisha mwezi mzima hakuna Cabinet? Baraza la Mawaziri! Hili sio ndio Serikali?

Mkuu wa kaya anataka kutuambia mawaziri au Serikali haina umuhimu tena? Kwamba Waziri wa fedha mgawa fungu ndio ana umuhimu? Waziri wa mambo ya nje ndio ana umuhimu kurekebisha kama wadau wa misaada wanazingua?

Je, tujiulize toka tumepata uhuru ilishawahi kutokea kuwa rais ambaye hana Cabinet kwa mwezi mzima?

Kama ni ukata mimi sikubali, sababu hata enzi za mzee Mwinyi ukata ulikuwepo lakini sikushuhudia hiki ninachokiona.

Au sasa hivi ndio kusema hakuna majembe ya uhakika bungeni kiasi hata cha kushindwa kuunda safu ya askari wa miavuli?

Naona kama wabongo wengi wameshangaa na hawajui nini hatima ya lini serikali itayowatumikia itaundwa!

Ngoja tusubili, lakini je mawaziri hawana umuhimu? Kama ni hivyo mbona awamu zilizopita cabinet ilikuwa inaundwa haraka!
 
Mtoa mada,

KWENYE heading- una uliza swali.

KWENYE content- una jibu swali.

Unategemea sisi tuchangie nini Sasa?
 
Hv hujui mkulu huwa n waziri wa wizara zote,mfano elimu,ndalichako alikuwa na mipango mingi mizuri lakini alishindwa kuifanya kwakuwa aliwekwa pale kama kivuli,hvyo usiogope hata tusipokuwa na mawaziri,jiwe linajimudu
Ndio serikali inaundwa na mtu mmoja?
 
Magufuli anatafakari kwa jinsi usalama wa taifa wLivyo mblack mail ha ha hana hela ya kuwapa mishahara maana ya kura za magunia kaufyata kawa mdogo kaa piriton analaaniwa na kila kiumbe cha dunia hii
 
Kwenye muundo huu wa uongozi uliopo Hamna haja ya mawaziri,bora hivyo mishahara,marurupu yao zipelekwe kujenga vituo vya afya.
 
Hawa viongozi wanaotegemea taarifa kutoka kwa mizimu ni tatizo sana Africa.
 
Back
Top Bottom