Nini kinaisibu dar young african?

Naamini ni hali ya kawaida tu watapick up, lkn pia mwaka huu itapendeza tupate wawakilishi/mabingwa wapya tofauti na yanga na simba ambao miaka yote ndo wawakilishi na hakuna lolote jipya from them
 
Itakua kuna mgogoro wa chini kwa chini ktk uongozi,ila nakubaliana kuwa tukipata bingwa mpya tofauti na simba na yanga itakua safi,ila kumbukeni kuwa mnyama simba atauwawa ccm kirumba kwa toto la yanga jumatano,kama kawa myama kirumba huwa hatoki kwa toto
 
Natamani kuona mabadiliko katika soka la Tz. Zamani ilikuwa ukiwa mshabiki wa mpira lazima uwe kati ya Simba au Yanga na ilo jambo limeendelea mpaka hivi karibuni. Ila nina amini tunaelekea pazuri na tutafikia hatua ya kuwa na mashabiki wa timu mbalimbali mf. Azam,Mtibwa n.k. Na hata kwa sasa nadhani Azam imeanza kupata wapenzi wake. Na hiyo ni ishara njema.
 
Itakua kuna mgogoro wa chini kwa chini ktk uongozi,ila nakubaliana kuwa tukipata bingwa mpya tofauti na simba na yanga itakua safi,ila kumbukeni kuwa mnyama simba atauwawa ccm kirumba kwa toto la yanga jumatano,kama kawa myama kirumba huwa hatoki kwa toto
<br />
<br />
sawa,tutaona!
 
wadau,mimi niwe wazi
naipenda timu yangu ya Simba toka utotoni! Ni vgumu sana kubadilisha mapenz hasa kwnye ishu za mpira!
Cha msingi hawa madogo wa sasa ndo waanze kuzishabikia hzo azam,a.lyon make ndo wanalingana nazo umri!
Nataman kuona mapinduz ya soka bongo lakini sio kwa kuacha kuisuport simba,hilo haliwezekan ndan ya moyo wangu wadau!
 
Ni vgumu kuubadil msimamo wa m2 lakin tuwe 2naridhia mabadiliko ile dhana ya usimba na yanga ishapita
 
Ni vgumu kuubadil msimamo wa m2 lakin tuwe 2naridhia mabadiliko ile dhana ya usimba na yanga ishapita

Tatizo la hizi timu mpya huwa ni za msimu tu. Tumewaona Sigara, Pilsner, Nyota nyekundu, Kajumulo, Moro United and the others zote zimekuja na zimepita. Sasa kama utakuwa shabiki wa timu kam hizo basi utabadili sana timu. Elewa deep down hata hao mashabiki wa Azama au timu zingine bado ni Simba au Yanga.
 
Simba na yanga ndizo zlizochangia timu hzo kushuka daraja kwa kununua mech hebu tuzpe sapot tuone@shakazulu
 
kampani ya hawa watoto Tegete,Kigi makasi na Razaki Khalfani(katemwa yanga sasa yupo Lyon)

waache utoto(masihara,starehe sana,kujisikia n.k), siyo tu inagharimu timu itakula kwao
 
River Plate Syndrome imeikuta Yanga, wasipoangalia watacheza ligi daraja la kwanza mwakani
 
Mnunuaji mechi manji kajitoa na hanunui tena so mpira tu unatakiwa on pitch hakuna kinachowasibu uwezo mdogo na wachezaji wazee
 
Unafikir ikishuka daraja nini hatma ya mpira wa bongo?maana wengi wanaamin bila yanga na simba bongo hamna mpira
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom