Nini kinaendelea kati ya Museveni na Raila kuhusu Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kinaendelea kati ya Museveni na Raila kuhusu Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Feb 20, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  KTN Kenya | Your Authoritative Channel - Raila and Museveni friends?

  Rais wa Uganda na waziri mkuu wa Kenya siku hizi ni marafiki waliokuwa maadui jana. Katika kuonyesha ndoa yao mpya walikuja na mpya hii. Raila anamtambulisha M7 kama rais wa Tanzania huku Museveni akishindwa kujua hata jina la chama cha Raila. Je Tanzania inachukuliaje hili la Museveni kuwa rais wake aliyepitishwa na Raila? Ni dharau au bahati mbaya? Kwanini wakenya wanapenda kutuonyesha kama watu wa hovyo? Kaimu waziri wa fedha Robison Gitau hivi karibuni alikaririwa akisema eti watanzania wanakula panya. Bahati mbaya Tanzania haikutaka hata aombe msamaha. What is going on?
   
 2. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Nani anatkata kuombwa msamaha na mambo ya ki (neno baya)?
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tanzania ni nchi hovyo kweli!
   
 4. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 802
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  @jaca,
  tz si nchi hovyo ni baba zenu na mama zenu kwa kufanya urafi na uroho wa mali za uuma!!
   
 5. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Maana ya Raila kuwa M7 ni Rais wa Tanzania anamaanisha kuwa kwa vile M7 alishaonyesha nia ya kuwa Raisi wa kwanza wa EAC, lakini Kenya haimkubali na imekwisha toa kauli yake. Mpaka sasa Tanzania haijatamka kama iNPinga M7 kuwa Raisi wa shirikisho la Afrika Mashariki
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hizo ni dharau maana Odinga hajawahi kuupata hata uraisi wa kenya.
   
 7. A

  August JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  ungeweka hiyo clip au maandishi ya hayo maneno tukayaelewa vizuri
   
 8. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sahihisha hapo plse Tanzania siyo nchi hovyo; Tanzania kama nchi haina kosa kwa yanayotendeka kwa sasa. Ukweli ni kuwa Tanzania ni nchi yenye kuongozwa na viongozi hovyo-hovyo.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ulimi unaweza kuteleza tungepata mazingira halisi kusudi tuweze kuwa na uhakika na maoni yetu dhidi ya kauli hiyo.
   
 10. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza niamini kabisa wewe SI Mtanzania ili niweze kusema neno; hivi kauli kama hii unaitoaje??? Mi nadhani wewe kwanza uwe hovyo ndipo uishutumu Nchi; Hii Nchi haijawahi kuwa hovyo ndugu tafadhali sana, tutukane Watanzania lakini usitutukanie Tanzania..........
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Hili la kula panya ni sawa ! Nenda Ndanda ukaulizie samaki nchanga, kwa taarifa tu Michuzi blog ilitupia stori hizo kupitia You Tube.
   
Loading...