Nini kinaendelea huko Tarime kati ya Polisi na wananchi?

naona taratibu watu wanaanza kuamka, soon tutajitambua na kusimamia Mali ya nchi kabla haijamalizwa na mabeberu
 
Sana yani unajua nilijua me peke yangu nalijua hili Yan hawa ni wachochez sana wanapenda migogoro hafu wanao tangaza ni wa tz wenzenu wehu sana hawa
KWA akili yako hakuna unacho jua tofauti na mrango wa choo. Wewe ni zero brain. ACACIA si ni wezi? Hatunaga mijadala na wezi, sijui kwenu kama huwa mnajdiliana na wezi.
 
Back
Top Bottom