nini kinaendelea huko Ivory coast?. sijasikiliza vyombo vya habari zaid ya siku tatu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini kinaendelea huko Ivory coast?. sijasikiliza vyombo vya habari zaid ya siku tatu?

Discussion in 'International Forum' started by kituro, Jan 13, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nimekuwa nikifuatilia mgogoro wa wenzetu huko africa maghalibi lakini kwa siku kadhaa sasa sijabahatika kuwa karibu na vyombo vya habari zaidi ya internet, naomba kujuzwa kinachoendelea huko africa ya wenzetu!.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kwanini usifuatilie kwenye internet!?Nenda kwenye website za BBC..Aljazeera..CNN..surely utapata habari huko!
   
 3. Baba Sangara

  Baba Sangara JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 16, 2007
  Messages: 244
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Achana na Al-Jazeera - Mwanahabari wao mtoto mdogo, Yvonne Ndege, haelewi kinachoendela Ivory Coast na kutanganza habari za kijinga tu. Pili hajui kuongea kifaransa. Tatu, inaelekea kapokea pesa toka kambi la Gbagbo kwa maana tokea afike Abidjan, mwanzo wa Disemba 2010, hajawai kuminterview hata mtu mmoja kwenye kambi la Allasane Ouattara....

  news abidjan - Google News
   
Loading...