Nini Kinaendelea Dodoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Kinaendelea Dodoma?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FDR Jr, Feb 11, 2008.

 1. F

  FDR Jr JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Najiuliza kumetokea nini hata JF kujikuta haina chochote cha kuripoti kabla ya muungwana hajashughulika na vinasa sauti vya Tz?

  Napenda kuamini ni kukomaa kwa watu wa jk sasa

  Napenda kuamini EL alikuwa chanzo cha kuvuja info

  Napenda kuamini wajivuni wanamtandao wamekwama na wanahofu sana sasa

  Napenda kuamini JF imeanza kushindwa kuingia sirini kama kawaida yake.

  Tusingependa kusubiria radio na Runinga zetu na leo hii mvua hii basi taabu kwelikweli.

  Wakuu tupeni baraza mapema ili kuepuka sifa ya makasisi wetu siku hizi.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Feb 11, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ukichukua muda kusoma utaona we are ahead of the game... subiri litangazwe halafu uje kutukosoa...
   
 3. m

  mwana siasa Senior Member

  #3
  Feb 11, 2008
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani Wakubwa Kulikuwa Na Tetesi Kuwa Baraza Hilo La Muungwana Litakuwa Saa 4 Kamili,lakini Mpaka Sasa Naona Kimya Na Tunawategemea Mlioko Huko Ili Tujue Nini Kinaendelea.kuna Mwenye Kusikia Lolote??
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Feb 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Dah,

  Hizi ni IMANI... Kuzibadili yataka moyo. Kifupi go thru stuffs and you'll be enlightened.

  A few moments things will be out as they are!

  Invisible
   
 5. m

  mwana siasa Senior Member

  #5
  Feb 11, 2008
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nini kinaendelea huko dom hivi sasa.JF KIMYAAAA
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  sawa kumbe umekuja na sulubu mpya wa kudai ujuilishwe. nimekupata mkuu lengo si kuonyesha unayoyaamini ila kuwachonga ukali wakuu, nnaaamini wamekufahamu


  kuna jamaa alikuwa akimuomba mungu amuondoshee shida yake na kila akiomba anaona shida yake haikidhiwi akaamua kusema ww mungu gani ww kama kweli ww mungu niue basi saa hii. si muda pale alipo lilianguka tofali kubwa kutoka juu na kuanguka karibu yake.

  jamaa alikurupuka mbio na kusema hee mungu hutaniwi nilikuwa natania tu
   
 7. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  saa Ngapi Kikwete Anaweka Mambo Hadharani?
   
 8. m

  mwana siasa Senior Member

  #8
  Feb 11, 2008
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NIlisikia ni saa 4 asubuhi,hata mi mwenyewe nashangaa kuona kimya
   
 9. Tulamanya

  Tulamanya Senior Member

  #9
  Feb 11, 2008
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We bwana FDR sikuelewi......! unamaanisha nini? cause kama wewe ni member makini hujashangaa utezui wa PM bwana MZ Pinda...! kwa sababu hapa JF tulisha mpa nafasi kubwa sana!! Nakushauri, zipitie thread zote za Ijumaa,J1 & j2 .....utapata picha kamili ya baraza la mawaziri!! Sisi hapa tunasubiri kuconfirm tu...! kwenye vipasa sauti vya radio na TVs yale baraza tulilokuwa nalo!!

  festog
   
 10. F

  FDR Jr JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2008
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtu wa Pwani ndg yangu hapa sijakuelewa ila ni vema nami nikaendelea kueleleza:

  Jana makanisani hoja hii ya Mwakyembe vs Lowassa na Pinda na JK umekuwa wimbo usio na vina wala mizani.

  Jana makanisani kwa sisi wengine tulikuwa na mahubiri ya makasisi wetu. Wamewageuka hao jamaa as if sio wao waliokuwa wanawaita ktk harambee zao za kuku ktk kujenga makanisa na blabla, ninajiuliza hawa makasisi hawakujua kuwa watoa sadaka hawa ni mafarisayo na watoza ushuru,mbona wametwaa saana mapokeo ya kifisadi.

  Nway,tupatieni latest tu juu ya nani yumo na nani katemwa.

  Kazi kwelikweli.
   
 11. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2008
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  FDR,
  Nani akatae pesa dunia hii? Unadhani walikuwa hawajui kwamba ni za wizi? Iweje mtu achangie milioni 60 pasipo maswali?
  Jamaa alikuwa akiitwa kwenye kila harambee na kuchangia mamilioni, na walikuwa wakifurahia. Leo imejulikana kwamba mamilioni yalikuwa yao wenyewe wanaanza kung'aka. Noma sana
  Ndio maana tunasema ya Kaisari watuachie wenyewe akina Kaisari na ya Mungu wampe Mungu!
   
 12. U

  Ufunuo wa Yohana JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2008
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 35
  JF haijashindwa kabisa bado inaoongoza ni uvivu wa kupitia nyalaka tu.
   
 13. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  rais atatangaza baraza la mawaziri na nafasi kadhaa za wakuu wa mkoa
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2008
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Mkuu Gembe,
  Tunajua kuwa raisi atatangaza hicho tunachotarajia, swali ni: Lini?
   
 15. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  itakuwa jioni ya leo saa 11,ikiwa atamaliza kufanya mabadiliko machache baaada ya mashauriano wa viongozi wa juu wa chama,sababu hakuwashirikisha mwanzoni na huenda list ikapanguliwa kutokana na ushawishi wa baadhi ya watu waliotolewa,kama wakichelewa kumaliza mashauriano basi itakuwa asubuhi ya kesho.! baraza haliwezi kuwa na watu wapya sana na bila ya kuwekwa wazoefu ili kulinda siri za nchi ambazo hubadilika mara kwa mara,huenda chenge au seif
   
 16. Kiberega

  Kiberega Member

  #16
  Feb 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu yangu FDR, kuchanganua ya Kaisari na ya Mola yataka hekima, sisi tulioUKOKA ktamgeukia .... tumeshukiwa na UROHO MTAKAVITU! Hayo ni maandiko MATIFUTIFU. JF kaza mwendo, na think smart; tutafika.

  Kiberega, Ngenzebuhoro
   
 17. Tulamanya

  Tulamanya Senior Member

  #17
  Feb 11, 2008
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu kwa kumention hili!! Hawa makasisi walikuwa wanampamba sana huyu x PM, Kama mnakumbuka usharika mmoja huko Monduli walimwekea hata kasherehe kadogo.....! wakisifu utendaji wake wa kazi.....! hapa naona Mungu amewaumbua vibaya! Na sasa kama wengi mlivyoshudia J2 wamemshambulia sana na kuanza kumpamba huyu Pinda...! Any way these guys are doing some kind of business in the church!!

  festog
   
Loading...