Zero IQ JF-Expert Member Dec 21, 2016 13,917 24,674 Sep 28, 2018 #1 Nini kinachotokea siku ya kwanza wanandoa wanapokuwa honey moon? Hili swali kila nikilifikiria nakosa jibu kabisa naomba mwenye anaejua aje hapa anitoe tongo tongo. Wapenda picha nimeshamalizana na nyinyi.
Nini kinachotokea siku ya kwanza wanandoa wanapokuwa honey moon? Hili swali kila nikilifikiria nakosa jibu kabisa naomba mwenye anaejua aje hapa anitoe tongo tongo. Wapenda picha nimeshamalizana na nyinyi.
clecla JF-Expert Member Dec 13, 2016 1,131 1,407 Sep 28, 2018 #2 Mbaya zaidi unaingia tu honey moon mama anaingia period,,,,,,hapo mtandao pendwa 0712 lazima utaokoa jahazi
Mbaya zaidi unaingia tu honey moon mama anaingia period,,,,,,hapo mtandao pendwa 0712 lazima utaokoa jahazi
Zero IQ JF-Expert Member Dec 21, 2016 13,917 24,674 Sep 28, 2018 Thread starter #3 clecla said: Mbaya zaidi unaingia tu honey moon mama anaingia period,,,,,,hapo mtandao pendwa 0712 lazima utaokoa jahazi Click to expand... Aaha aaah mkuu mkuu ni Dhambi
clecla said: Mbaya zaidi unaingia tu honey moon mama anaingia period,,,,,,hapo mtandao pendwa 0712 lazima utaokoa jahazi Click to expand... Aaha aaah mkuu mkuu ni Dhambi
Kaparo JF-Expert Member Sep 7, 2013 1,997 4,827 Sep 28, 2018 #5 Kinachotokea ni 1. Kutafuta asali mwezini 2. Kutafuta maua ya nyuki. 3. Kuandaa mizinga ama masega.
call me T JF-Expert Member Apr 27, 2015 291 390 Sep 28, 2018 #6 Itakua wanaenda kupost picha za harusi