Nini kinachoendelea viwanda vya soda?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
171,722
2,000
Biashara za watu hizo mkuu,kuna wenye maduka,wale vibarua na wafanyakazi viwandani wanatengeneza pesa kupitia soda,hayo madaftari yanapatikana kwa njia hii pia
Inawezekana ni mtoto kweli badala aulizie madafutali shule zinafunguliwa kesho,yeye anaulizia soda,kweli huyu mtoto atasoma shule kweli?
Sio kila kitu ni cha kubeza wakuu
Una umuri gani? Make hivi vinywani ni vya watoto tena wadogo. Acha kuadimika hata viwanda vikufungwa kabisa sioni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom