ngoja waje,lakini ni wewe sio jirani kuwa mkweli basi
jombi huo ndio ukweli
ngoja waje,lakini ni wewe sio jirani kuwa mkweli basi
kwa mtu anayetumia vidonge vya majira inaweza kuwa hivyo.
Hii inatokea kama haufuati mzunguko mzima badala yake unatumia kidonge pale
unapotaka kwenda kukutana na mtu.
Zaidi watasema wakuu hapa.
ni dalili kubwa ya faibrods au gonjwa la zixnaa lililokomaa nenda kwa dktari wa wanawakeiliwahi kunitokea nikaenda hosp wakasema nina faibrods.mwambie akaone gyna mzuri.
kama alivyosema mdau hapo juu amuone doctor wa kina mama.
Afu nimekumbuka; watu walofunga kizazi wanapata lots of problems, nimekumbuka my mum alikuwa ana lalamika. Ila baada ya muda atakuwa poa. Ila kumwona doctor ni muhimu sana.
Ila mhhh. Wewe ni 'he' afu unaongeaje mambo ya hedhi na jirani yako ambae ni 'she'?
jaman wanajamvi naomba mnisaidie shemeji yenu amekumbwa na tatizo yaan toka ameanza bleeding mwenzi wa tano amekuwa akivuja damu mara kwa mara yani kila baada ya wk moja anatoka damu nyingi amejaribu kwenda kwa dokta kapewa dawa bt tatizo bado lipo naomba msaada tafadhari suluhu ya hili kwa wataalamu wanao jua plz plz plzjaman wanajamvi naomba mnisaidie shemeji yenu amekumbwa na tatizo yaan toka ameanza bleeding mwenzi wa tano amekuwa akivuja damu mara kwa mara yani kila baada ya wk moja anatoka damu nyingi amejaribu kwenda kwa dokta kapewa dawa bt tatizo bado lipo naomba msaada tafadhari suluhu ya hili kwa wataalamu wanao jua plz plz plz