nini kina nguvu ya kudhihirisha penzi la dhati?

Kwa mimi naona penzi la dhati hujumuisha UPENDO, KUELEWANA, KUAMINIANA, KUJADILIANA KATIKA MAMBO YA MAENDELEO NA MENGINEYO, KUTIANA MOYO PALE MNAPO KWAMA.
 
mapenzi ni kujali na uwezo wa kumvumilia mwenzio na kukubali mapungufu yake, pesa gari hazina nafasi ingawa basic nids muhimu, mkilala,mkila imetosha
 
Jaman hivi mapenzi ya kweli mpaka uvuliwe nguo kweli??? Siami mapenzi ya kweli hutoka moyoni na wala sipesa,,!!!
Ila baadhi ya sisi wanaume tuna amini ivyo na baadhi ya wanawake nao pia huwa ndo wajinga kabisa anaamini akimvulia mwanaume nguo ndo kamaliza!!! Mwisho wake analia! ! Mapenzi ni kuvumiliana nothing else!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom