Nini kimetokea soko la hisa Dar leo? hisa karibia zote zashuka hadi kufikia thamani ya 0

soma mada anguko la mabank utajuwa haya swala sio magufuli ila ufisadi ndani ya mabank
 
Mkuu mbona umelate kunistua hivi washafunga au bado? nikazirambe zote kasoro za NMB na CRDB niwe mmiliki mpya wa makampuni kibao.. babake
 
Pole wanakufanyia utoto tuu hizo lugha tulichezanazo sana wakati tuko primary.

Mojawapo ya lugha tulizokuwa tunaziongea wakati tuko watoto ni kama hii, unaongeza silabi kwenye kila neno mfano kwenye hii tuliongeza neno BA ,BE,BI, BO, BU kwenye kila neno, sasa tukiwa tunaiongea harakaharaka huwezi kuelewa hata kidogo.
Mfano...NIBIMEBE NUBUNUBUABA SABABUBUNIBI.....
TWEBENDEBE SHUBULEBE......

Sasas hawa wanafanya kinyume chake yaani wanachukua neno mfano SHULE halafu wanaliandika kinyume kama waarabu wanavyoandika hivyo SHULE ataandika ELUHS yaani herufi ya mwisho ndo inakuwa ya kwanza kuandikwa. Yataka muda na wasaa kufanya hayo.
ni kindema au kimtang'ata
 
Back
Top Bottom