Nini kimetokea? Now 90% ya wadada wa Dar wamejazika nyuma!

Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui?
Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale walikuwa wamejazika nyuma... Hali hii imenitisha na kunifanya nihisi labda wamevaa matambara ndani au labda Mchina is at work...
Wale wataalam wa mambo mkuje huku kutoa maelezo...
Hujafanya utafiti mkuu, umeangalia tu. Cha kufanya rudi tena ubebe sample uendenazo lodge ulete majibu mujarabu kama ni makaratasi au ni nyama kweli
 
Back
Top Bottom