Nini kimetokea kwa ndege yetu ya Bombardier kusukumwa?

Ndege yoyote haiwezi kwenda reverse; ndiyo maana huwa zinasukumwa kwa trekta. Yale matrekta ya kusukuma ndege hayamilikiwi na shirika la ndege bali yanamilikiwa na kampuni inayotoa huduma za uwanja wa ndege. Uchoona hapo nikuwa trekta la kusukuma hailkuwapo kwa hiyo watu wakaamua kuisukuma.
Lilikwenda wapi?
Kuvuta treni au?
 
Kama hujui utaratibu wa ndege kutolewa apron na kuwekwa tayari kuruka uliza usionekane choko. ndege haina mfumo wa kurudi nyuma yenyewe. Ndio maana kuna magari maalum ya kusukuma inapohitajika.

Wapi nimesema ndege ina mfumo wa kurudi nyuma?

Kama kuna magari maalumu mbona hatuyaoni tunaona watu maalumu ndio wanao kokota hilo samtela?





Sent using unknown device
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom