Nini kimesababisha zile Sinema zetu za Amita Bachan wa Baharini zisiwepo na ' amsha amsha ' zake kupungua?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,353
108,385
Tokea Mwezi November mwaka jana Sterling wa Kiswahili Amita Bachan wa Baharini ameacha kutuletea Watanzania zile ' Sinema ' zake ambazo huwa zinafunga mitaa na maeneo mengi huwa ' busy ' kumuangalia jinsi anavyoigiza kwa umahiri mkubwa na Usanii wake uliotukuka kabisa.

Je nini kimesababisha Amita Bachan wa Baharini kusimama hivi ghafla na Sinema zake za hapa na pale?

Nawasilisha.
 
:oops::oops::oops::oops::oops:
 
Labda anatunga script ya movie mpya, muda wa mkataba aliopewa na muandaaji bado anao, so soon ataibuka na kitu kipya.
 
Tokea Mwezi November mwaka jana Sterling wa Kiswahili Amita Bachan wa Baharini ameacha kutuletea Watanzania zile ' Sinema ' zake ambazo huwa zinafunga mitaa na maeneo mengi huwa ' busy ' kumuangalia jinsi anavyoigiza kwa umahiri mkubwa na Usanii wake uliotukuka kabisa.

Je nini kimesababisha Amita Bachan wa Baharini kusimama hivi ghafla na Sinema zake za hapa na pale?

Nawasilisha.
Hadi branch za mabenki walikua wanakata utepe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea Mwezi November mwaka jana Sterling wa Kiswahili Amita Bachan wa Baharini ameacha kutuletea Watanzania zile ' Sinema ' zake ambazo huwa zinafunga mitaa na maeneo mengi huwa ' busy ' kumuangalia jinsi anavyoigiza kwa umahiri mkubwa na Usanii wake uliotukuka kabisa.

Je nini kimesababisha Amita Bachan wa Baharini kusimama hivi ghafla na Sinema zake za hapa na pale?

Nawasilisha.
Utter nonsense
 
Jana kapiga picha na mzungu wa nawe

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimependa sana hiyo Picha uliyoiweka katika ' Avatar ' yako kwani huyo ndiyo Mwanamuziki Kipenzi changu ambaye 24/7 huwa hanitoki akilini mwangu na kila mara na kila Siku lazima nizisikilize Nyimbo zake na Bendi yake ' iliyobarikiwa ' kabisa ya Wenge Musica BCBG. Heshima sana Kwake Jean Bedele Tshituka Mpiana. Naomba usiibadilishe hiyo ' Avatar ' hapo tafadhali.
 
Back
Top Bottom